Hapa atakuambia unahatarisha tunu yetu ya taifa, amani!.Angekubali Katiba mpya iandikwe na Tume Huru kuundwa ambayo inatokana na takwa la wananchi.
Samia arudi Kizimkazi atuachie Tanganyika yetu, ameshaharibu sana sasa yatosha.Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk
Napendekeza watu wataje mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako. Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia nitachangia mbeleni.
Tatizo watu wengi wanalalamika kwa kufuata mkumbo ILA ukimuuliza nini anatamani afanyiwe, hajui?
Angalizo mimi sio mlamba asali/ ni raia wa kawaida tu!
Aunde tume ya uchaguzi inayoaminiwa na vyama vyote. Kusiwe na mteule wa rais anayehusika katika mambo ya uchaguzi kwa namna yoyote.Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk
Napendekeza watu wataje mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako. Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia nitachangia mbeleni.
Tatizo watu wengi wanalalamika kwa kufuata mkumbo ILA ukimuuliza nini anatamani afanyiwe, hajui?
Angalizo mimi sio mlamba asali/ ni raia wa kawaida tu!
Angeachia ngazi Urais haumtoshi watu hawana imani nayeKumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk