Ungetamani Rais afanye nini?

Ungetamani Rais afanye nini?

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,288
Reaction score
5,762
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk

Napendekeza watu wataje mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako. Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia nitachangia mbeleni.

Tatizo watu wengi wanalalamika kwa kufuata mkumbo ILA ukimuuliza nini anatamani afanyiwe, hajui?

Angalizo mimi sio mlamba asali/ ni raia wa kawaida tu!
 
Ningependa kwanza atafute thaman ya X
IMG_20250520_084946.jpg
 
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk
Naomba nitoe fursa kwa watu kuwa huru kutaja mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako; Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia nitachangia mbeleni....
basi kama raisi hajui lakufanya hadi apitie maoni hafai kuwa hapo kwa kiti
 
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk

Naomba nitoe fursa kwa watu kuwa huru kutaja mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako: Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia nitachangia mbeleni..

Tatizo watu wengi wapo tu kama washabiki wa mpira, analalamika mtaani ILA ukimuuliza nini anatamani afanyiwe, hajui?
1Akae Dodoma kama walivyosema ndio makao makuu.
2Atekeleze miradi yote kwa vitendo.
3Aitumie R4 yake kama alivyoianza.
4Atumie wanachosema wapinzani,yeye afanye kwa vitendo ili waishiwe Cha Kusema
5Mkate wa siku zote tugawane sawa,hata vyeo tupate hata sisi wa Jamii Afrika.
 
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk

Naomba nitoe fursa kwa watu kuwa huru kutaja mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako: Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia nitachangia mbeleni..

Tatizo watu wengi wapo tu kama washabiki wa mpira, analalamika mtaani ILA ukimuuliza nini anatamani afanyiwe, hajui?
Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 inazinduliwa May 30,2025.

Kiufupi tu,
ilani hiyo imesheheni kila jambo ambalo mTanzania angependa lifanyike kijamii, kiuchumi na kisiasa.
So, mambo yote iko huko.

Kumbuka,
ni Dodoma katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa utakaofanyika tar.29 na 30 May 2025,chamwino Dodoma 🐒
 
Back
Top Bottom