General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Mkuu acha tu.No 4 umeongea la muhimu sana Mkuu.
Nilikuwa nacheki data za upatikanaji wa maji nchini kwenye mikoa mbalimbali..
Zaidi ya robo tatu ya Mkoa wote wa Tabora hawapati maji..
Na gharama zake zizikumbuki lakini nafikiri hazi zidi 100Bil.
Si bora kuwaondolea Tabora shida ya maji na sehemu nyingine za nchi...!!??
Huo m dreamliner nani ataupanda kuja kutalii hapa Tanzania... na asa ivi ndio tuna majanga ya ZIKA tena...shida tupu kwenye huo Utalii anaousema.
Maana alisema anataka ndege ya kuchukua watalii USA mpaka Tz.
Kwani watalii wamekosa ndege za kija huku?Ningependekeza inunuliwe ndege kuuuuubwa, isaidie kuleta watalii for direct flight na kuongeza mapato ya nchi yetu ili tuwekeze kwenye Huduma za maji, umeme, mikopo kwa vijana n.k.
Namaanisha kuwa kusudio la serikali ni sahihi.
Mkuu wanakuja na za kukodi, matokeo yake wanapitia kwanza Kenya wanaacha fedha pale halafu ndio wanakuja Tanzania.Kwani watalii wamekosa ndege za kija huku?
Ningependekeza fedha bilioni 600 zitumike katika hili
1. Kuboresha miundombinu ya Dar kwa kujenga barabara za mwendokasi nyingine katika sehem zenye msongamano.
. AU
2. Ningetumia fedha hizo kukopesha vijana wenye mpango mkakati wa biashara kuweza kujiajiri wenyewe.
AU
3. Ningesambaza umeme katika sehem ambazo umeme haujafika
AU
4. Ningesambaza huduma za Maji katika sehem kame
. AU
5. Ningeimarisha shule za msingi kwa kukarabati miundombinu.
Wewe unapendekeza nini?