ungependa yupi kati ya hawa ndio awe mwanao?

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,599
1,025
398798_439754482707641_100000192793974_83125572_2049057845_n.jpg
 
acheni kuwatoa kafara watoto wenu kungali mapema maana huyu wqa kulia na kitambi chake ni KAMA "MJUMBE WA KAMATI YA UFUNDI KABISA"
 
nmeipenda hii.
asante kwa kuipenda.
Khaaa,Hapo hayupo, may b angekuwa mwanajeshi mpiga mizinga. But nimeipenda hiyo....!
asante kwa kuipenda japo hayupo ambaye ungemchagua.

Mipacha hiyo midogo.
umeonaeee,halafu wote wanaonekana ni watundu balaa.
Hivi refa ndio amepiga hii picha?
sijui Bujibuji,zaman tulikua tunaweka pozi la dole gumba ila madogo wa siku hizi mapozi yao hayatabiriki
Nimeitafsiri kama huyo aliyemkanyaga mwenzie ni "serikali iliyopo madarakani" na huyo aliyekanyagwa ni "wananchi"
kilolambwani usinitie uchungu maana maana mwananchi nimekandamizwa kichwan hadi napumua kwa shida.
na wananchi tunatabasamu kwa uchungu

labda iko siku tutatabasamu kwa furaha maana ukiona mtu anatabasamu kwa uchungu ujue maumivu ni makali hadi kulia hawezi.
 
Ningependa wote wawe wanangu maana hakuna dalili ya chuki baina yao!! Wako powa!!

mim ningetamani wote wawe wanangu kwa sababu moja tu,ni mapacha,ila nisingependa wawe watundu hivi,hawa wanaonekana watundu sana.
 
Back
Top Bottom