Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

Umeona ee?kazima kombe liende sukumaland leo

Cha ajabu wanawake wenyewe hawaolewi na wasukuma, kama wanadhani wasukuma ni wa miaka ile wawaibie, wasahau, ni wajanja siku hizi, unakuta hata ineternet wanatumia vizuri tu, sishangai ndio wanaoongoza kuchepua mademu humu MMU!
 
Watu wanaongelea ukabila!viongozi wetu wanataka kutupandisha basi la ukabila(in mwalimu nyereres voice)
 
Napenda awe msukuma,they are humble and caring na wanajali kwa kiwango chao na nnachotaka aniahidi na kutimiza ni upendo wa kweli na uaminifu na akitimiza hilo ntamkubali Mpaka kifo kinitenganishe nae..Sbabu upendo wa kweli na uaminifu ni vitu adimu sana katika kizazi hiki cha sasa...Sitaki magonjwa mie

Wasukuma yawezekana wana sifa unazozitaja. Shida yao: ni washirikina sana. They are killers. Mnisamehe wasukuma mliopo. Ha ha haaaaa.
 
Back
Top Bottom