Ungemfanyaje????????????

Ungemfanyaje????????????

kwanza nashusha presha kwa bia moja...then namwita,namwambia kaa chn...then lala chin nampa viboko v3 vya matakon...alafu namwambia cjakuchapa et umekosea bali kwa kunipresharyaz ila kaz nzur xna

teh teh teh ana akili ila tatizo ndo hivo amekupa presha
 
presha hapo lazima mkuu mtoto ni creative mbaya hamna haja ya kumpiga
Itabidi umwambie we ni creative sana ila usitunge sana kupitiliza kiasi hicho mana nina presha
 
dah! Dogo noma. Hata mi nilishaanza kupagawa, ila kuna uongo mwingi. Ni lini kaenda kuishi na binti hadi ajue analala masaa 6? N.k, n.k
 
Nitmpongeza, ila nitamwambia ibaki kwenye tungo tu wala asije kuifanyia kazi, hata wewe uliyeileta usijaribu babu, take care men
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom