Ungemfanyaje????????????

Ungemfanyaje????????????

Kwanza anakula bakora za kutosha hlf pongezi nyingi zinafuata kwa ukrieta wake
 
nikifanikiwa kumaliza bila kuzi100 nakikata stiki afu nakiamisha shule,kutiana presha tu huko aseee
 
kwanza nashusha presha kwa bia moja...then namwita,namwambia kaa chn...then lala chin nampa viboko v3 vya matakon...alafu namwambia cjakuchapa et umekosea bali kwa kunipresharyaz ila kaz nzur xna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom