Ungemfanyaje???????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungemfanyaje????????????

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Mar 6, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Baba na mama,ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya meza,naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi,najua mtaumia kwa vile bado nasoma
  na ndo nipo kidato cha kwanza,Napenda kuwajulisha kwamba sasa hivi mnaposoma hii barua sipo nyumbani,nimetoroka mana nimegundua nina uwezo wa kujitegemea kwa sababu mi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 14 na ninajua kipi chema na kipi kibaya.tangu mwezi mmoja uliopita nilikuwa na uhusiano na binti mmoja aliyeitwa Rachel,mwenye umri wa miaka 27 na kwa sasa ndo naishi naye kwenye chumba alichopanga.Nilipokuwa nyumbani sikuwa napata hela za kutosha ila sasa nimeanza kushika noti za shilingi 10,000,msichana niliyenaye ni mzuri sana wa umbo na ninampenda sana,amenifundisha njia za kutafuta hela.Amenipangia kazi ya kuuza madawa ya kulevya na yeye ikifika usiku anaenda kuuza mwili wake,basi kila siku tunapata hela ya kutosha,huyu mchumba wangu ni msichana mwenye bidii,kwa siku analala masaa 6 tu maana mwanaume yeyote akija lazima awe naye chumbani kwa mda wa masaa 3.Msiwe na hofu,nipo salama kabisa na nimeamua kumwoa Rachel mana ni kila kitu kwangu.
  Pia amenunua gari la kubebea mbao kwahiyo biashara inaenda vizuri,Rachel ameenda kupima afya na
  amekutwa na upungufu wa kinga mwilini,mara nyingi namridhisha anapotaka kitu flani,iwe kufanya naye mazoezi ya viungo au kufanya naye mapenzi,si mnajua unapokuwa na mgonjwa unakuwa naye karibu,ila mi pia sijihisi vizuri mana kila saa nakohoa tu na sina uhakika kama nimeathirika,.Tumepanga baada ya miaka miwili tutawatembelea,nadhani mpaka miaka miwili iishe atakuwa ameshajifungua,na nifuraha yangu mtamwona mjukuu wenu.Wazazi wangu sina la kuongeza kwaherini Mungu akipenda tutaonana.
  Baba na mama mi nipo chumbani kwangu, mnachokisoma ni h/work ya mwalimu wa kiswahili alituambia tutunge hadithi fupi,naomba iangalieni kama kuna makosa

  Ile unarudi kutoka kazini unakutana na ujumbe kama huo mezani,Utamfanyaje mwanao?
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwanza nampa hongera kwa uwezo mkubwa na wa hali ya juu wa kutunga insha nzuri kama hii yenye uwezo wa kugusa hisia za msomaji na kuwa na uwezo wa kufundisha, kuburudisha na kuonya jamii.
  Mwisho nitamwambia mwanangu chonde haya uliyoyaandika usije kujaribu kuyatenda.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  sidhani kama mama atamaliza kuisoma hadithi
   
 4. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mmh!itabidi niichunguze vizuri akili yake,sio bure...lazima kuna mambo atakuwa ashaanza kuyapigia hesabu!
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Ukiwa na BP unajikuta upo hospitalini hata hukumaliza kusoma ujumbe
   
 6. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntazimia alfu ni kishazinduka ntazimia tena kama mara 3 hv, natumaini nitapata maamuzi mazuri.
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  duh,jitahidi kuepuka presha mkuu
   
 8. t

  tracy wa NJIRO Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  makofi kwanza
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Hapo unaweza ukazimia kabla ya kumaliza kusoma!
   
 10. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  kwanza kabisa na ashumu niko usingizin na ota .... Naedelea kujifanya naota...mpaka nazoe hii hali!!
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  tena makofi ya ukweli
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  unaweza kufa hata bila kupata ujumbe kamili
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hehehehehe halafu wakati huo yeye amepozi zake kitandani
   
 14. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  we mkali,upo juu,mitaa gani nikutoe
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  nipo karibu yako nakureply
   
 16. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,093
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tuache yote excelent upo juu jaribu kutunga comedy stori uokoe bongo comedy
   
 17. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ujue duniani kuna watoto,na kuna "mitoto" toto la namna hiyo linakuuwa kwa presha kabla hujamaliza kusoma!
   
 18. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie mwenyewe nilikuwa natetemeka hapa kabla sijamaliza kusoma hio stori! Asilimia yote mkuu we mkali
   
 19. m

  mbambaguy JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kabsa mwenye presha lazma afe!
   
 20. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Umetisha !
   
Loading...