Ungekuwa wewe utafanyaje

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
359
Wale sharp katika kujibu vimeo kama hivi...Unafanyaje Hapo.......
​
 
Babe nimekuona ukiinga club ndo maana nikajibu hivyo
 
unaondoka taratiiiibu kwa madaha (bila kugeuka) unaelekea kunako counter unachukua glass mbili za whisky..unageuka kuelekea alipo afu unamwambi, "i saw u coming in honey..so wats up!??" (huku ukimkabidhi glass moja..)
 
ningetafakari kwanza kama ni kweli ameniona/ananiona hapa club au anatania, na nisije jibu kumbe wala hata hajaniona na wala hayupo hapa club na hajui nipo wapi

Baada ya kuhakikisha kwa kumuona yupo nyuma yangu ningegeuka na kutoa kichecko cha uwongo kwamba nilitangulia kumuona ila nilitaka nimchunie nione atafanyaje...!!!
 
It's not me! You must be drunk...(huku unaondoka kuongelea chooni au nje ya club), na unafoka kishenzi... And I am coming right away,where you are..you crazy peace of sh*t!
Baadaye unamgeuzia yeye kibao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…