Ungekuwa wewe ungemshaurije huyu jamaa?

Nimecheka sana jamani. Dah!!!! Kama comedy vile

Nimekosa hata ushauri wa kutoa. LOL!! Dunia ina mambo
 
Mie naona jamaa baada ya kugundua jamaa pombe zinamfanya akose adabu na ajisahau, angemwongezea zingine nyiingi tu ili jamaa azime..then angemla tigo ili awe na adabu akilewa.
 
ngumi moja nzito ya chembe itamtoa pombe zote na kumkumbusha kwamba anaongea ujinga,i cnt tolerate this nonsense hata kama ni rafiki yangu,kesho yake akinilalamikia hata mimi ntamwambia nililewa bana.

hahahaa.. babu mfano unakuta yeye ndiye mkurya orijino, anakugeuzia kibao anakutandika kisawasawa, utafanyaje?

bak 2 the pweint, jamani pmbe nyingine nyie!!!!!!!!! mmmh!
 
hahahaa.. babu mfano unakuta yeye ndiye mkurya orijino, anakugeuzia kibao anakutandika kisawasawa, utafanyaje?

bak 2 the pweint, jamani pmbe nyingine nyie!!!!!!!!! mmmh!
Pombe mbaya bana na kama ni mtu wa visa ndio kabisa
 
Hahahahahahaha ndiyo raha ya kilevi hiyo!....unayoyasema ukiambiwa kesho yake utakataa kata kata kwamba si wewe uliyetoa kauli zile. Nakumbuka kulikuwa na jirani mtu mzima tu na watoto wakubwa kabisa. Yeye alikuwa akishakamata masanga wakati anarudi nyumbani kwake basi baadhi ya majirani zake walikuwa wana mbwa basi wakifoka naye anafoka kama mbwa tena kwa nguvu zake zote hahahahahahah. Basi kijiweni zikianza story za watu wa mtaani basi kuna kijana alikuwa akihadithia ya yule baba aliyekuwa anashindana na mbwa kufoka tulikuwa tunacheka ile mbaya maana yule jamaa akiwa hajakamata masanga alikuwa ni muungwana sana.
 
Wana JF; kuna jamaa yangu mmoja aliamua kumtoa out rafiki yake wa muda mrefu kwenda kupata moja moto moja baridi baada ya rafiki yakwe kumweleza kuwa amefulia!!

Walipofika baa walianza kugida bia kama kawaida ilipofika bia tatu tatu kila mtu; yule aliyetolewa out akaanza kwa kumshukuru sana rafiki yake kwa kumtoa ile out maana alikua anajiona mpweke mno......

Baada ya muda kidogo bia ikiwa nusu chupa mtolewa out akaanza kumwambia rafiki yake kwamba kwa kweli tumejaaliwa wake tumeoa wake zetu ni wazuri sana jamaa akamjibu kwa upole na tabasamu kuwa ni kweli na ni jambo la kumshukuru mungu kwa kuwapatia wake wazuri na walio wema.

Ikaagizwa raundi ya nne kisha ya tano....mtolewa out akarudia yale maneno ya awali kumwambia rafiki yake... naye akamjibu ni kweli tumuombe tu mungu wazidi kuwa wake wema kwetu.. kisha mtolewa out akaweka msisitizo kuwa mke wa rafiki yake ni mzuri sana ameumbika vizuri, amejaaliwa wowowoo la kutisha sasa kasema ni lazima ambandue tuu... jamaa aliinuka akaenda mita kama tano akasimama akamtazama yule rafiki yako huku akisema jamani siamini ninayoyasikia kwa huyu best yangu au naota.???.......huku ameduwaa haamini kabisaa......huku mtolewa out akisistiza lazima ambandue mkewe mshikaji......

Wana JF hivi mngemshaurije huyu jamaa ???!!!!

Hapo hakuna urafiki wa kweli. Kumbuka AMRI KUU ZA MUNGU.Watu wengi tunasahau misingi ya dini zetu na amri kuu za Mungu.Kwa nini uwe na rafiki ambaye anamtamani mke wako?Ukweli ni kuwa mtu akilewa ndio anakuwa na honest mind na anasema mengi ambayo yamejificha kwenye moyo wake, na pia kuonyesha true colors zake.He is not worth to be called a friend.Huyo utamuamini kweli ukiwa safarini akupelekee ujumbe home kwa wife?No trust - no love - no friendship!
 
Mie naona jamaa baada ya kugundua jamaa pombe zinamfanya akose adabu na ajisahau, angemwongezea zingine nyiingi tu ili jamaa azime..then angemla tigo ili awe na adabu akilewa.

Nimekutwanga thanks kule. Huyu jamaa ana mahesabu makubwa na mke wa rafiki yake sasa ulevi umemfanya aseme ukweli bila kujua anamuumiza raki yake. Dawa ya kumaliza huo mpango ni kumtigo hata kwa vid**e na urafiki uishie hapohapo.
 
Hivi unaweza kumshauri mlevi akiwa kalewa? Labdo kama nawewd utakuwa umelewa!
 
Alienda kumnunulia pombe,pombe sio chai,kama jamaa anahisi mshkaji alimaanisha aliyoyasema,ni bora kumpandishia vioo tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom