Ungekuwa wewe ungemfanya nini mlevi huyu?

Hahahahaaa., kila nikifikiria najikuta nacheka tu maana duh..
 

hapo lazma achezee kchapo had akili ikae sawa!
 
Ningefurahi kwakua amenipunguzia kazi maana nibora kumsukuma mtu alie kwenye bembea kuliko alie kwenye gali. kazi rahis kuliko nilivyo fikiria.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…