Ungekuwa wewe ungejitetea vipi?


B

Bongemzito

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
163
Likes
3
Points
0
B

Bongemzito

Senior Member
Joined Nov 5, 2010
163 3 0
Tuchukulie upo na mpenzi wako mmetoka faragha siku moja na huwa mnakaida mkienda ku..duu huwa mnatumia condom,sasa siku iyo upo nae unatoa kile kipakti akaziona badala ya kuwa tatu siku iyo ziko mbili akakuuliza iyo moja umeipeleka wapi? au umeitumia na wengine c unajua wanawake kwa wivu...ni swali ambalo hukutegea kuulizwa.
 

Forum statistics

Threads 1,237,364
Members 475,533
Posts 29,285,954