Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,755
- 2,303
Una demu wako ambae anaishi na bibi yake tu, Siku moja akakwambia uende kwani bibi yake hayupo alikuwa kalazwa hospitali anaumwa! Ukaenda kama kawa mmelala usiku wa manane mko kwenye mambo yenu mlango ukagonwa Binti akaijua sauti ilikuwa ya Mjomba Akakwambia "jifiche chini ya Uvungu haraka"! Kwa haraka haraka ukaingia uvunguni huku upo uchi wa mnyama, Baada ya kufungua mlango kumbe walikuwa wakileta maiti ya Bibi alikuwa kafariki wakaingia ndani moja kwa moja wakaiweka pale kitandani huku watu kibao wakajaa humo ndani wengine wakilia na wewe umo uvunguni nanguo huna zipo kwenye enka hujo juu Ungtoka je hapo!