KAMA NI WEWE UNGEFANYAJE: kijana
mmoja wa kiume alitandika kitanda cha
bosi wake alipomaliza akakitazama sana
akasema naweza kufa bila ya kulalia
kitanda kama hiki akasema ngoja
nijaribu kulala lau kidogo akavua suluali
na shati akabaki na pens akawasha ac
akajifunika brangeti akalala kwa mbaya
usingizi ukampitia kweli akalala mke wa
bosi aliporudi akajua hakika huyu ni
mume wangu na atakuwa amekasirika
mwanamke akasaula akabaki na nguo
za kulalia nae akajifunika hilo branget
kwa taratibu sana kwa hofu ya
kumwamsha mume wake kwa bahati
mbaya nae usingizi ukampitia akalala
bosi aliporudi akaingia chumbani
akakuta watu wamelala fofofo akafunua
branget akawakuta wote wawili yaani
yule mfanya kazi na mke wake
wamelala pamoja walipoulizwa kila mtu
akaeleza ukweli je kama ni wewe
utawaelewa?
mmoja wa kiume alitandika kitanda cha
bosi wake alipomaliza akakitazama sana
akasema naweza kufa bila ya kulalia
kitanda kama hiki akasema ngoja
nijaribu kulala lau kidogo akavua suluali
na shati akabaki na pens akawasha ac
akajifunika brangeti akalala kwa mbaya
usingizi ukampitia kweli akalala mke wa
bosi aliporudi akajua hakika huyu ni
mume wangu na atakuwa amekasirika
mwanamke akasaula akabaki na nguo
za kulalia nae akajifunika hilo branget
kwa taratibu sana kwa hofu ya
kumwamsha mume wake kwa bahati
mbaya nae usingizi ukampitia akalala
bosi aliporudi akaingia chumbani
akakuta watu wamelala fofofo akafunua
branget akawakuta wote wawili yaani
yule mfanya kazi na mke wake
wamelala pamoja walipoulizwa kila mtu
akaeleza ukweli je kama ni wewe
utawaelewa?