ungekuwa wewe ungefanyaje?

ungekuwa wewe ungefanyaje?

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
359
Reaction score
122
ebu jenga picha. Ni asubuhi unaamka halafu unakuta umevalishwa pete ya dhahabu kidole cha pili kisha kwenye mto ipo karatasi ina ujumbe unaosomeka "nakupenda sana kwa penzi ulilonipa usiku wa leo na nikaamua bora nikuvishe hiyo pete, ni mm nikupendae POPOBAWA" Jee! utachukua uamuzi gani wa haraka?
 
haiseee ...but yaliyopita si ndwele ntaganaga yajayo ..kilichotokea kimetokea....
 
Angalau hilo jina popobawa lisingekuwepo kidogo ungeweza ukilifikiria positively
 
Itakuwa siri yangu. Maana amenivisha pete kisirisiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom