Ungekuwa wewe ungefanyaje?

very true, ila kuvua gamba utu uzima noma antena ikisimama tu nyaya zote zinakatika na kwa bidada dume inabidi aijue Gspot bila kupenda kama njia mbadala

Hahahahahah! Mkuu antenna ikisimama si unaipoooza na barafu afu shughuli inaendelea kama kawa. Usiwatishe bhana watu wazima wasijivue gamba
 
duh hii nayo kali mkono wa sweta wakati wengine wana mikono ya vikaushi loh tutalala mzungu wa nane hadi atakapolikata

Mkono wa sweta nasikia una raha yake! Ile nyama ya juu inakuna mpk G spot.
 

abomination...kwenye aya ya mwisho sentensi ya mwisho..!natoboza.
 
mna utani na watu flani humu!..
 
duh!kiukwel kama n mm ntakubaliana na hal halis kwa maana ha2kjuana tkea hapo awal,so ntakubliana na hal yake ila itabd ajue kuwa itakuwa ngum kwake kufrahia tendo la ndoa.
 
ungeweka hili swali jukwaa jingine kama MMU, ningekujibu kwa ufasaha na wala usingejiuliza tena hili swali...lakini kwa kuwa lipo huku CC ngoja nijipitie zangu.

we pita tu haimuzi kichwa
 
Hahahahahah! Mkuu antenna ikisimama si unaipoooza na barafu afu shughuli inaendelea kama kawa. Usiwatishe bhana watu wazima wasijivue gamba

kulivua ni lazima na maumivu uyapokee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…