Ungekuwa wewe ungefanyaje?!

“Usimuue!
Ni yeye alinunua lile Land Cruiser VX nililokununulia, alilipia hii nyumba tunayomiliki sasa, alinipa zile pesa tulikuwa tunadaiwa na benki na analipia tiketi zetu zote tunavyoendaga maonyesho. Ndiye pia anayelipia ada za watoto wetu, hata iyo suti uliyovaa na nyingine. Pia analipa kodi zetu za kila mwezi!”

Naona kama vile jamaa alichelewewa kumtafuta na kum-shoot mwizi wake maana alishajua zamani kama anaibiwa. Yaani mpaka mkopo wa bank unalipwa yeye bila kufikiri zimetoka wapi?

Kill the bastard!
 
Very Simple:

1. Kama unampenda mke wako na amekubali kosa na kutubu na kubadilika: Msamehe Mwenzako 70 X 70. Hakuna asiye na dhambi. Leo kwake kesho kwako.

2. Kama moyo wako Mzito na hakuna jinsi unaweza kuwa naye tena, una sababu tosha za kumpa talaka. Songa mbele, anza maisha yako kiume. Ongeleeni habari ya watoto.

The choice is yours . . . But, dont kill wala kumjeruhi no matter how difficult is it is emotionally, kwani utajitafutia kesi nyingine.
 
Kama anaweza aendelee kuishi nae ama amwache, lakini kama ana watoto hakuna haja ya kumwacha, walale vyumba separate waendelee kulea watoto wao. Maisha yanasonga
 
duh hapo jamaa amevuka mipaka manake anakula utamu wangu kitandani kwangu, lazima ningetoa maamuzi ya kiume,ningemfanyia tohara kwa mara ya pili na kumpaka bandeji yenye chumvi.
 
duh hapo jamaa amevuka mipaka manake anakula utamu wangu kitandani kwangu, lazima ningetoa maamuzi ya kiume,ningemfanyia tohara kwa mara ya pili na kumpaka bandeji yenye chumvi.
hahhhahahhaha usisahau kwamba jamaaa ndio anakuweka mjini maana hata uwezo wa kulipia watoto shule hana uwezo wa kulipa bills za kila mwezi hata kununua suti zake hawezii na usafiri anaotumia kanunua jamaaaa hahhahaha thats means jamaaa analelewa na huyo mwanamke kwahiyo hakuna cha kufa kiume hapo yeye mwenyewe kaolewa tuuuuuuu
 
duh kimeo mkuu hapo cha kufanya kamata hamsini zako mchezo umekwisha ?? ukimchana sooooooooo mh??ukimwacha mbaya zaidi ? kumfunika umekubali . sasa cha kufanya unamwamsha unaenda nae kwa mkewe kisha anakuruhusu mwenyewe . mnamalizana alafu mnakuwa mnabadilishana kunakuwa hakuna tabu . akigoma maliza mwenyewe kaka . ila pole sana.
 
dah kwa kweli hapo mi nisingekuwa na ujanja, ningekuwa mpole tu, ila ningejidai mkali na kumwmuru yue mgoni apotee ghafla kabla mizuka ya kabila langu haijapanda, au ningekimbilia panga na kumchapa nalo kwa ubapa nadhani hiyo ingekuwa fundisho tosha ......
 
Hiyo inadhihirisha kwamba umasikini ni mbaya sana, kama kweli mtu anaweza kuruhusu mkewe analambwe na bwana mwingine ili yeye aendeshe VX na kuvaa suti basi hiyo ni hatari!

Hilo halikubaliki, kwa maana kama mwanaume ukikubali hilo, basi ipo siku huyo mgoni atataka amgeuze nyuma mume wa huyo mwanamke, tena mbele ya mkewe kisha awajengee hoteli ya kitalii................!!!!
 
Duh! Nitaona fedheha kuendelea kuendesha hiyo VX na kuishi kwenye nyumba ambayo hafahamu mwanamume mwenzangu ananilipia kupitia ticket ya wife!! Mie nitaishia nikahangaike kivyangu nimwachie mbabe wangu aendelee.
 
Suala hapa ungekuwa wewe ungefanyeje,

Ningekuwa mimi sina haja ya kumjeruhi mtu yeyote, ningekaa pembeni na dereva taxi halafu nitamwambia wamalizie kwa mechi yao. Halafu tuanze mjadala baina ya watu wote wanne.
Halafu baada ya hapo namwambia mwanamke, huyo ndiye mme wako na aondoka naye wakati huohuo. Na hapo mwanamke asieleze kitu maana wamekutwa LIVE na dereva taxi ni shahidi.
 
Suala hapa ungekuwa wewe ungefanyeje,

Ningekuwa mimi sina haja ya kumjeruhi mtu yeyote, ningekaa pembeni na dereva taxi halafu nitamwambia wamalizie kwa mechi yao. Halafu tuanze mjadala baina ya watu wote wanne.
Halafu baada ya hapo namwambia mwanamke, huyo ndiye mme wako na aondoka naye wakati huohuo. Na hapo mwanamke asieleze kitu maana wamekutwa LIVE na dereva taxi ni shahidi.

That's bullshit. Kuna jamaa mmoja huko Arusha siku za karibuni alimfumania mkewe akamkata jamaa korodani akalala mbele na mpaka leo haijulikani alipo. I would do the same thing to the bastard!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom