Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Kama n mimi hcho kichwa nitakacho mrukia hpo lazima akojoe dagaa
 
natunisha mashavu. nakunja mdomo kama nungunungu namrukia shingoi roba kali . nahakikisha hapumui.
Labda ungekuwa na umbo na maguvu kama mimi, ndiyo hata simba mwenyewe atasita kukurukia, maana naye atahofia maisha yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom