ah wapi itahisi ni mzoga tu ataniacha.Ukizimia ndo unafanywa kitoweo
nimecheka peke yangu chumbani hadi watu wamenishangaa....hahahaha....shikamoo kaka simba?lllhahahahaNeno la kwanza'Shikamoo kaka simba' afu nasubiri matokeo
mnyama ni mnyama tu yani ukinyanyuka na hilo hema kama lilivyo lazima ashtuke tu.Ufumuke vp wakat ameshakuona then yupo karibu kabisa
ah wapi itahisi ni mzoga tu ataniacha.
Baba V umenivunja mbavu! Yaan nilikuwa bado natafakari cha kufanya mara nikakusoma! Lol! Nadhani hata huyo kaka simba mwenyewe angekusikia angecheka sana na kuondoka zake.Neno la kwanza'Shikamoo kaka simba' afu nasubiri matokeo
nimecheka peke yangu chumbani hadi watu wamenishangaa....hahahaha....shikamoo kaka simba?lllhahahaha
natunisha mashavu. nakunja mdomo kama nungunungu namrukia shingoi roba kali . nahakikisha hapumui.