Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Mwanamke msaliti hapaswi kusamehewa. Msamaha anaopaswa kupewa ni ule wa kuachwa kwa amani.
Ni nature ya ulimwengu na Imani karibu zote mwanamke hapaswi kutombwa na zaidi ya mwanaume mmoja.
Mwache, mwache, kama moyo unamuuma umuume tu akafie mbele tutazika
 
kuna errors kwenye mahusiano, uchumba au ndoa hubainika na hazifutiki moyoni na akilini kamwe in life time, its whether uishi nazo ziendelee kukutafuna milele, au ufute ukurasa mzima uanze kuandika upya kwa Amani.

Yapo masahibu kidogo ya uamuzi huo utayapitia japo ni kwa muda tu....

halafu ukioa aliezalishwa na mwingine awali, kukutana kwao kama wazazi kwa siri hapaepukiki hata ufanyeje 🐒
 
Umeamua kuishi naye tangia 2017 baada ya 2014 kumzalisha mtoto, "mwaka 2023 tukapata mtoto wa tatu," mbona hujasema mtoto wa pili alipatikana lini na ni wako au wa huyo katika kipindi mlichopoteana 2014-2017. Kwani hicho ulichokiskip kinamchango mkubwa sana kwenye ishu yako. Kama mtoto wa pili ni wake na anakaa na nyie,umesema tulipata mtot wa tatu , basi ujue hao kukutana haikwepeki.Nafikiri endelea na maamuzi yako, muache aendelee na jamaa yake, she will never changes na hiyo itakuhunt through out your life. Be free man.
 
Amekiri kosa, ameomba msamaha, ameapa hatorudia unangoja nini kumsamehe mlee watoto wenu?

Samehe saba mara sabini
 
Toa maamuzi acha kulea ujinga..!!Au mpo wakae na bwana ake wakutilie sumu ufe…!! story za kutia Hasira..
 
Embu toa kauli yenye uamuzi acha kujinunisha kama wanawake wa uswazi

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Sijui mimi ndio sijaelewaa

Yaani umeshaona mtu ana mahusiano na kakiri mwenyewe halafu umeshaamua ila maamuzi yako huna hakika nayo halafu waja tuuliza sisi tungefanyaje?

Hebu acha upumbafu wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…