indundidotcom
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 235
- 231
Mkuu unayajua tangu 2020, leo 2024.Nimeishi nae tangu mwaka 2017 baada ya 2014 kumzalisha mtoto nikaamua nimchukue tujenge familia
2023 tukapata mtoto wa tatu nakuja kugundua mwenzangu anamahusiano nje n
Ni muendelezo wa drama zake. These foolish creatures never values our commitments. Kama ushahidi wa kutosha upo peleka dawati la jinsia/ustawi wa jamii, waambie unaona ukiendelea kuishi na msaliti utapata kesi ya kumdhuru.Mpaka Sasa anadai anaumwa moyo unamkimbia
Uvimilivu maana sikuwa na ushahid wa kutosha huko nyuma MkuuMkuu unayajua tangu 2020, leo 2024.
Ulikuwa unangojea mualiko rasmi kufunguka?
Sumu haionjwi na mkuki haupigwi konzi! Kama unayapenda bado maisha yako! Please run...!!!Nimeishi naye tangu mwaka 2017 baada ya 2014 kumzalisha mtoto nikaamua nimchukue tujenge familia 2023 tukapata mtoto wa tatu nakuja kugundua mwenzangu anamahusiano nje na mchumba wake wa awali kabla sijamchukua.
Uchunguzi binafsi nikabaini Wana zaidi ya miaka mitatu wapo kwenye mahusiano hayo
Mi nipo wilayani kusaka maokoto wakati yeye yupo mjini tulipojenga.
Baada ya dharau kuzionesha nikamwambia najua chanzo Cha ujinga wake, nikamtajia anayempa jeuri, nikamueleza nayajua mahusiano yake tangu mwaka 2020, najua anapokutana na huyo mtu wake, nikamuonesha ushahid wote.
Aliduwaa akabaki mdomo wazi, akaomba sana msamaha, akadai hatorudia
Nimerudi kazini sijaongea lolote, sijamwambia nimemsamehe, sijampa nafasi ya kujua nini nawaza.
Nimemruhusu aendelee na mtu wake maana hainidhuru mie ila roho inauma.
Mpaka Sasa anadai anaumwa moyo unamkimbia maana hajui nini nitafanya na uamuzi gani nitachukua.
Je, nipo sahihi?
Kama ni wewe ungefanya nini?
Mawazo yako ni muhimu
Noted MkuuKachek dna ya mtoto wa tatu ..sio wako mkuu
Pia kuwa makini na machozi ya huyo mwanamke atapiga tena kitu kizito hapo kausha tu
Ila ukimsamehe jua next time atacheat tu....
Tena jamaa ndo kama kakuzidi kipato jiandae kisaikolojia au kama jamaa ana tia mambo vizuur kuliko wewe pia jiandae
Nashukuru kwa mawazoNi muendelezo wa drama zake. These foolish creatures never values our commitments. Kama ushahidi wa kutosha upo peleka dawati la jinsia/ustawi wa jamii, waambie unaona ukiendelea kuishi na msaliti utapata kesi ya kumdhuru.
Hivi unajua usaliti ni capital offense.Nimeishi naye tangu mwaka 2017 baada ya 2014 kumzalisha mtoto nikaamua nimchukue tujenge familia 2023 tukapata mtoto wa tatu nakuja kugundua mwenzangu anamahusiano nje na mchumba wake wa awali kabla sijamchukua.
Uchunguzi binafsi nikabaini Wana zaidi ya miaka mitatu wapo kwenye mahusiano hayo
Mi nipo wilayani kusaka maokoto wakati yeye yupo mjini tulipojenga.
Baada ya dharau kuzionesha nikamwambia najua chanzo Cha ujinga wake, nikamtajia anayempa jeuri, nikamueleza nayajua mahusiano yake tangu mwaka 2020, najua anapokutana na huyo mtu wake, nikamuonesha ushahid wote.
Aliduwaa akabaki mdomo wazi, akaomba sana msamaha, akadai hatorudia
Nimerudi kazini sijaongea lolote, sijamwambia nimemsamehe, sijampa nafasi ya kujua nini nawaza.
Nimemruhusu aendelee na mtu wake maana hainidhuru mie ila roho inauma.
Mpaka Sasa anadai anaumwa moyo unamkimbia maana hajui nini nitafanya na uamuzi gani nitachukua.
Je, nipo sahihi?
Kama ni wewe ungefanya nini?
Mawazo yako ni muhimu
Baso endelea na uvumilivu hata ulipopata ushahidi wa kutosha.Uvimilivu maana sikuwa na ushahid wa kutosha huko nyuma Mkuu
Upo sahihi sana......Nimeishi naye tangu mwaka 2017 baada ya 2014 kumzalisha mtoto nikaamua nimchukue tujenge familia 2023 tukapata mtoto wa tatu nakuja kugundua mwenzangu anamahusiano nje na mchumba wake wa awali kabla sijamchukua.
Uchunguzi binafsi nikabaini Wana zaidi ya miaka mitatu wapo kwenye mahusiano hayo
Mi nipo wilayani kusaka maokoto wakati yeye yupo mjini tulipojenga.
Baada ya dharau kuzionesha nikamwambia najua chanzo Cha ujinga wake, nikamtajia anayempa jeuri, nikamueleza nayajua mahusiano yake tangu mwaka 2020, najua anapokutana na huyo mtu wake, nikamuonesha ushahid wote.
Aliduwaa akabaki mdomo wazi, akaomba sana msamaha, akadai hatorudia
Nimerudi kazini sijaongea lolote, sijamwambia nimemsamehe, sijampa nafasi ya kujua nini nawaza.
Nimemruhusu aendelee na mtu wake maana hainidhuru mie ila roho inauma.
Mpaka Sasa anadai anaumwa moyo unamkimbia maana hajui nini nitafanya na uamuzi gani nitachukua.
Je, nipo sahihi?
Kama ni wewe ungefanya nini?
Mawazo yako ni muhimu
Kwanza nikuhakikishie uko sahihi mkuuJe, nipo sahihi?