Ungekuwa wewe ungefanyaje, mimi ningeshindwa kujizuia etih mke wa mtu Sumu.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Haaa etih wakuu hivi inatokea unamkuta mtoto mkali magheto na haujajipanga siku hiyo unamwambia atoke nje anakataa, na yeye anaforce tu mfanye pamoja, we ungefanya nn?
Pamoja na kwamba msichana kupewa pia ni haki yake lakini dah sio kwa kulazimisha hivi, ungeweza kweli kusema hapana au ndo kama mimi ningemrukia hapo hapo bila kuchelewa
 
kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
3,460
2,000

Hayo mavaz yao wakina uwoya ndiyo yalifanya wengine tuone bongo movie sio sehemu sahihi kuangalia na wazaz au watoto .
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,255
2,000
Wewe mkuu hivyo vituko vya bongo movies navyo unavitilia maanani kweli?
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
52,318
2,000
Inasikitisha sana...

Kama unamsimamo, unakataa, na kukemea...

Kwa mahondaw wangu kabla hata hajafungua mdomo tayari nishamnyanyua...

Apart from that washindwe na walegee...

Cc: mahondaw
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom