Ungekuwa wewe ungefanya nini?

Ungekuwa wewe ungefanya nini?

Hayo yote yangeipuka kama ungeweka DONT DISTURB SIGN :shock::shock::shock::shock:
 
Mkuu umenichekesha sana mchana huu
Daaaaaaaahhhhhhh!!!!!!!!!!!
 
ntamuomba asubiri dk.0 then nabeba maji kwenye beseni, naenda mmwagia yeye na laini zake
 
Umenikumbusha aliyesoma tangazo ''usikae hapa'' yeye akalala... watu ukiwaambia ''do not disturb'' wanapata curiousity.. kuna nini umu... wanagegedana nini? au ndio wanaoshea meno ya tembo humu au ndio wanapaki 'sembe' tayari kwa kumeza ..... kwa hio unampa kiherehere cha kujua... hahahahahaaaaa.
Hayo yote yangeipuka kama ungeweka DONT DISTURB SIGN :shock::shock::shock::shock:
 
Nipe original kama hii umeona copy istoshe hata simu yako ni copy .....nguo zako copy , mswaki copy,viatu vyako copy na vingin vingi........nk
Nipatie hy yako...isyo copy..... BOSS

kha! Unamaneno mtoto wa Kiume,umemeza mota loh!!! Kuna mtu alishapost hii kitu!! Na hizo ni hadith za fb,unabisha?
 
Dah! nami namchekea.....!!!! lakini had anakuja kugonga chumbani kwako!! ama kwa hakika kutakuwa uswaziiii mno
 
Hayo yote yangeipuka kama ungeweka DONT DISTURB SIGN :shock::shock::shock::shock:

Ha, ha umenikumbusha kipindi nipo hostel za muhimbili kuna wakati ili washkaji wasikusumbue unaweka bango la ' Admitted, kaa mbali'. Wakipita hawagusi mlango wako.
 
Kwa post zenu had meno 32 yako nje mpaka sasa mbavu si zangu ndio maana nawapenda, munaniongezea sku za kuish. Hebu nipen mchanganuo nipate raha mie .....iswape shida sana ni mawazo yangu tuuuu.
 
Kumbe unalala chumba cha stoo? Maana umetaja ndoo za maji,deki mara TV. Pole ndugu.
 
Vuta picha umelala mida Ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni unafika mlangoni na maumivu ya kidole na uchovu + hasira+hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia Nagawa kadi za CCM!
UTAFANYAJE!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom