KAMA NDO WEWE HATUA GANI UNGECHUKUA?

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,596
4,890
Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hacra + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Halotel !

*Hapa ndo utaelewa samehe 7x70 inamaanisha nin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom