M Meruone Member Joined Jul 29, 2012 Posts 25 Reaction score 7 Oct 15, 2012 #1 Hebu fikiria na ujiulize kama kila dhambi ufanyayo unatobolewa, je ungekuwa na matobo mangapi ukitoa uliyonayo? Au ungekuwa kipi kati ya hivi vifuatavyo. A. Chandarua B. Wavu C. Chujio D.chekecheo
Hebu fikiria na ujiulize kama kila dhambi ufanyayo unatobolewa, je ungekuwa na matobo mangapi ukitoa uliyonayo? Au ungekuwa kipi kati ya hivi vifuatavyo. A. Chandarua B. Wavu C. Chujio D.chekecheo