Access Denied
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 655
- 211
Unapewa taarifa kuwa mumeo wa ndoa yuko na hawara yake wamekaa garden, ile unafika karibu yao unasikia kimada wake anamwambia
"Honey chukua hii laki 7 hizi umpelekee mkeo nyumbani umwambie zimsaidie kwa leo na kesho, ila ikifika mwisho wa mwezi nitakupigia tukutane sehemu nikupatie million 10 umfungulie biashara ili awe busy asitusumbue"
Vipi utafanya fujo au utasubiri hizo million 10?