Ungekua wewe ungefanyaje

Ungekua wewe ungefanyaje

Hivi pale mikumi ingekuwajje juzi mepita pale nikaona kundi kubwa la twiga wakivuka ilibidi nisimame kwa muda nao wakahisi hiki sio kiumbe cha kawaida kumbe nao wanyama wanatambua magari, mbele kidogo tembo nao wakijiandaa kuvuka aah hao sikusubiri ilibiidi gia namba 5 itafutwe fasta na kusepa wale wakipiga kigelegele chao ukizubaa unageuka nyasi fasta na kigari chako
Kumbe tembo ni wa korofi eh
 
Kumbe tembo ni wa korofi eh
Ukiwa ndani mikumi ukitalii sasa basi ikatokea hao tembo wakipiga kipyenga tu, iwe bahati pia na wale walinzi sijui guidemasta wakisikia huelekea eneo la tukio haraka kuokoa. Chezea tembo wewe wacha wewe wasikie tu ila fika walipo alafu mmoja apulize kipyenga ha ha ha utageuka nyika fasta hawakawii, ila ukiwachokoza kwa kelele hapo ndio zali
 
elephant-car-pilanesberg.jpg
Nadhani zaidi ya kujikabidhi kwa ALLAH sioni la ziada.!
 
DAWA YAKE NDOGO piga honi uone mbio atakazo toka huyo dili..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom