Ungekua wewe ungefanyaje

karume kenge

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
569
421
Wewe bwana lufunyo umejaaliwa kujenga nyumba mzuri hapa mjini, unaishi na mkeo pamoja na watoto wako wawili Janet na john ,

sasa hapo nyumbani kwenu kwa sababu ni nyumba mpya haina hata miezi 6toka muhamie kutokana adha ya kupanga mjini mkaona ni bora kuhamia hata kabla nyumba yenu hamjaimaliaza vr ,

wiki moja imepita mmetembelewa na mama mkwee wako ambae ni mama wa mkeo kutoka huko maeneo ya matombo morogoro ,

asubuh moja umeamka ili kujiandaa na kuoga ili uwende kazini bahati mbaya maji nayo yamekatika ukona si vr kuogea ndani bora u ogee choo cha nje ambacho hakitumii maji mengi sio cha kuflash, ukamuambia mama watoto wako akuandalie maji ili uonge ,taulo kiunoni mswaki mdomon si unajua mambo ya mjini tena na ww bwana lufunyo watu wa mjini wanaita garden love umejaaliwa ni kama nzi wametua kifuani ,

Kutoka tu ukakutana uso kwa uso na mkweo kakaa sebulen anaangalia habari za magazet asubuh kwenye TV yenu hapo sebuleni , unamsalimia kwa aibu na yy anaitikia kwa kuinamisha kichwa si unajua kina mama wa kijijin tena tofaut na mjini, unaendelea na safar kabla hujavuka sebule anatokea mwanao kipenzi Janet anakukimbilia na kukukumbatia kwa sababu hua ni kawaida yako unamnyanyua juu ,

Ile unafikisha juu taulo linafunguka unabaki kama ulivyo zaliwa na mkweo yupo hapo we we umempa mgongo , utainama ili uvae taulo au au utamshusha vp huyo mtoto aliyeko juu ?
 
Hivi nimwachie mtoto kwa sababu ya mkwe..!!!!huo si ufala!!!!!!kwani ni kipi kigeni huyo mkwe asichokijua.huwa nashangaa sana wanaume wanaoogopa wakwe..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom