Ungeandikaje?

Ungeandikaje?

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,722
Tuchukulie ni mwaka1980' mda ambao simu za mkononi hamna lakini zipo za mezani.

Wewe hauna lakini vibandani wanatoa uduma ya simu kwa malipo.

Kaka yako anafanya kazi katika shilika moja uko mjini wewe upo kijijini unaishi na baba,baba aliugua ghafla ukampeleka hospital ya Ndanda na inaitajika Tsh.80,000/ kwa ajili kufanyiwa matibabu.

Mfukoni una sh.300 tu. Baba akakuambia mwanangu mwambie kaka yako hali yangu na sehemu tuliyopo aje kutusaidia akikuamini wewe ni msomi wa kidato cha 4 unajua kusoma na kuandika vizuri.

Unatakiwa uandike Barua ya simu kwa malipo ya sh.50 kwa kila neno utakalo andika na kumbuka mfukoni una 300 tu ina maana maneno 6 tu yenye kueleweka bila shaka yoyote.

NB.Andika kwa herufi kubwa bila kufupisha neno na uanze na neno KAKA.........?
 
KAKABABAANAUMWASANATUPOHAPANYKURUNDUMAHOSIPITALINAMFUKOANININASHILINGAMIATATU MUNGU WANGU? HATARI
 
KAKA BABA MGONJWA TUPO HOSPITALI NDANDA
 
Hadi nukta inahesabiwa kama neno. Kaisubirie barua yako posta inarudishwa.
Nafahamu lakini hapo nimeweka tu kwa kufuata taratibu za kiuandishi lakini sio katika simu ya maandish!
 
Back
Top Bottom