Unge mshauri nini huyu dada?

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Anasema tangu waoane na mume wake imepita miaka 6 na sasa wana watoto 2.
Mume wake alikuwa akiishi Dar akifanya biashara wakati yeye akifanya kazi ya ualimu huko MZ.

Baadae mume alimfanyia uhamisho akaja Dar tangu mwaka jana mwezi wa 3. Kipindi hicho alikuwa mjamzito.
Hii ina maana jamaa alikuwa anaenda kurekebisha huko MZ.

Anasema tangu aje, akiwa mjamzito wa miezi 2 jamaa alimtengenezea kitanda cha peke yake na mwanae mkubwa
na hakuwa ata kurekebisha ata siku moja hadi mwanamke huyo alipoenda kumwuliza Daktari aka mwambia haina shida iwapo
wangefanya mchezo kistaarab. Ikumbukwe mama huyu anasema alikuwa na hamu sana na mume wake.

Aliporudi nyumbani kumwambia mumewe, mume alimjibu kuwa yeye hajisikii kutembea na mtu mwenye mimba.

Alipojifungua hadi leo jamaa amekataa kumpa haki yake kwa kigezo kuwa bado ananyonyesha. Hapa mama anasema hamu iko juu kwani
sasa inaelekea miaka 2 hajapata hiyo kitu!

Anasema alipomfuatilia siku moja asubuhi alimwona anaenda kazini kwake na mwana mke fulani aliyekaa naye kwenye gari lake (la Mwanamke)
huku wakipeana mabusu na alipomuuliza kama anapitia mitaa ile mumewe alikana.

Siku nyingine alikodisha taxi na akawakuta tena katika hali hiyo. Alipomwulizia zaidi ampe ile kitu jamaa akamwambia ''sikufeel"

Sasa huyu mume anatimiza majukumu yote isipokuwa hiyo kitu.

Je, ndoa ipo hapo? Utamshauri afanyeje?
Naomba mnijibu ili nimfikishie maana mimi sikupata majibu mazuri ya kumshauri.​
 
Simple, kama anapata kila kitu ndani, the aachie mzigo kwa serengeti boys, na maisha yanaendelea-hii ndiyo effect ya kuwa tegemezi.
 
Sasa jamaa si anaweza kumkamata na kumwondolea uhai? Maana lazima ujue atakuwa anafanya uzinzi akiamua hivyo
 
kama wewe uhuna uhusiano na huyo mama sijui maana fisi kukabidhiwa bucha auze duuu!!
 
Anasema tangu waoane na mume wake imepita miaka 6 na sasa wana watoto 2.
Mume wake alikuwa akiishi Dar akifanya biashara wakati yeye akifanya kazi ya ualimu huko MZ.

Baadae mume alimfanyia uhamisho akaja Dar tangu mwaka jana mwezi wa 3. Kipindi hicho alikuwa mjamzito.
Hii ina maana jamaa alikuwa anaenda kurekebisha huko MZ.

Anasema tangu aje, akiwa mjamzito wa miezi 2 jamaa alimtengenezea kitanda cha peke yake na mwanae mkubwa
na hakuwa ata kurekebisha ata siku moja hadi mwanamke huyo alipoenda kumwuliza Daktari aka mwambia haina shida iwapo
wangefanya mchezo kistaarab. Ikumbukwe mama huyu anasema alikuwa na hamu sana na mume wake.

Aliporudi nyumbani kumwambia mumewe, mume alimjibu kuwa yeye hajisikii kutembea na mtu mwenye mimba.

Alipojifungua hadi leo jamaa amekataa kumpa haki yake kwa kigezo kuwa bado ananyonyesha. Hapa mama anasema hamu iko juu kwani
sasa inaelekea miaka 2 hajapata hiyo kitu!
Anasema alipomfuatilia siku moja asubuhi alimwona anaenda kazini kwake na mwana mke fulani aliyekaa naye kwenye gari lake (la Mwanamke)
huku wakipeana mabusu na alipomuuliza kama anapitia mitaa ile mumewe alikana.

Siku nyingine alikodisha taxi na akawakuta tena katika hali hiyo. Alipomwulizia zaidi ampe ile kitu jamaa akamwambia ''sikufeel"

Sasa huyu mume anatimiza majukumu yote isipokuwa hiyo kitu.

Je, ndoa ipo hapo? Utamshauri afanyeje?
Naomba mnijibu ili nimfikishie maana mimi sikupata majibu mazuri ya kumshauri.​

Huyo dada cha maana atafute wa kumfeel ado naye
shauri yake kitaota kutu.
(AKITENDA NAWE MTENDE)
 
Naomba mnijibu ili nimfikishie maana mimi sikupata majibu mazuri ya kumshauri.

[/QUOTE

duh?....kuna watu wavumilivu miaka miwili nampa hongera kwa hilo
Cha muhimu huyo dada atafute wakumfeel ado naye ndo kilichobaki
la sivyo kitaota kutu,maana hapo hamna ndoa
 
Huyo dada cha maana atafute wa kumfeel ado naye
shauri yake kitaota kutu.
(AKITENDA NAWE MTENDE)

Kutu hiyo si rahisi. Aliniuliza kufanya hivyo (kuchachua nje) Ila mimi nilimwambia asifanye hivyo maana ni kuongeza tatizo juu ya tatizo na isitoshe mimba ni changa.
 
Mpe pole mwenzio,lakufanya nikuwatafata wazazi wa pande zote mbili mjaribu kutafuta muafaka wa jambo hilo kwani sikuizi magonjwa mengi na ukizingatia unamtoto na anakuhitaji wewe kuliko wewe unavyomuhitaji huyo mume,vile vile ungeweza kupata ushauri zaidi kwa viongozi wa dini ,mpe hongera sana kama ameweza kukaa miaka miwili bila huo mchezo, pia amuombe Mungu kwa sana ili azidi kumpa uvumilivu na amuondolee misukosuko kwenye ndoa yake na maisha yake....
 
pole sana .. nadhani hapa kwa vile una mtoto mchanaga na mtoto anatakiwa apewe mapenzi hasa kutoka kwa wazazi achana kwa nza na masuala ya kuangalia tamaa ya muda ya kimwili wewe mwanao huyo ndo kila kitu ndo atakayekupunguzia stress zako ..
  1. je ulishawahi kuhusisha ndugu katika matatizo haya na nini ambacho kilitokea??
  2. ulishamkalisha chini na kuongea nae suala zima linalowakabili??
  3. huwa unapata muda wa kuongea nae??
nakuomba utumie busara zaidi katika maamuzi yako
 
Pole yake, inawezekana me ni mtoto sana, le mi ask, hivi kumbe wanawake nao huwa wanatamani kitu roho inapenda? Dah .!
 
yiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? ulidhani
sasa kungekua na haja ya kuwa na mwenza.........
wawapi wewe?.
 
Back
Top Bottom