UNGA meeting Kenya speech Vs Tanzania speech!

Hao wenye military base za wazungu nchini kwao hawana mamlaka za kujadili chochote cha maana kuhusu Africa.
Wewe uliyemilikisha nchi kwa waarabu una mamlaka gani kujadili chochote?

Kipi hicho mnaweza kujadili?
 
Sasa mnataka utu uheshimiwe Gaza wakati hapa Tanzania hamthamini utu wa watu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…