frank nyantu2
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 298
- 162
Yangu huiwezi aisee!! Hadi setting ya kufomat hufiki kabisa na ukibahatika kile kibox cha android kinakuwa kimesomama tu hata kwenye computer haikubaki kuformatmi naweza ondoa iyo kitu simu yangu ilikua kila dakika inasema hiv kwa fundi nilienda bila mafanikio ila nilibahatika kuitoa mimi
kama upo Dar ni PMYangu huiwezi aisee!! Hadi setting ya kufomat hufiki kabisa na ukibahatika kile kibox cha android kinakuwa kimesomama tu hata kwenye computer haikubaki kuformat
Ulifanyaje mkuu maana hata Mimi ni muanga wa ilo tatizomi naweza ondoa iyo kitu simu yangu ilikua kila dakika inasema hiv kwa fundi nilienda bila mafanikio ila nilibahatika kuitoa mimi
Mkuu hata mm ni muanga wa ilo tatizo mkuu yangu ni Tecno L6 nikipigiwa siwezi kupokea inaandika "UNFORTUNATELY THE PHONE HAS STOPPED"kama upo Dar ni PM
kama upo Dar niPMMkuu hata mm ni muanga wa ilo tatizo mkuu yangu ni Tecno L6 nikipigiwa siwezi kupokea inaandika "UNFORTUNATELY THE PHONE HAS STOPPED"
Pole sana. Mimi mwenyewe natumia tecno L6 na hilo tatizo limenisumbua sana, nilienda kwa mafundi bila mafanikio, na nadhani hili ni tatizo la kawaida kwa toleo hili. Kufix tatizo hilo nenda playstore udownload "HD caller ID" ya "NickyCho" na uiset utakavyo wewe.Mkuu hata mm ni muanga wa ilo tatizo mkuu yangu ni Tecno L6 nikipigiwa siwezi kupokea inaandika "UNFORTUNATELY THE PHONE HAS STOPPED"
Nakushukuru mkuu ngoja nijaribu ntarudi kukupa mrejeshoPole sana. Mimi mwenyewe natumia tecno L6 na hilo tatizo limenisumbua sana, na nadhani hili ni tatizo la kawaida kwa toleo hili. Kufix tatizo hilo nenda playstore udownload "HD caller ID" ya "NickyCho" na uiset utakavyo wewe.
Tatizo lako litaisha. Kama itakusumbua uliza zaidi
Okay..... Nenda mkuu. Utafurahi bila shakaNakushukuru mkuu ngoja nijaribu ntarudi kukupa mrejesho
Inawezekana mkuu. Lakini kwa Tecno L6 sidhani kama hiyo ni sababu pekee. Mimi nimechukua simu mpya dukani, ikasumbua. Nikairudisha na KUBADILISHIWA.... Na hiyo nyingine tatizo liko pale pale, kumbuka hapo sijaangalia hayo uliyoyasema.Unaweza kukataa ila matatzo makubwa ya hyo system kutofanya kazi ni kwa kuangalia sana video za ngono... Maana huwa zina virus wa kutosha..
Si lazima kukubali
Kuna shida nyingine sim nyingi za tekno hasa matoleo ambayo yanapendwa na watu huwa zimetumika, na hvyo kuingizwa nchin kama product mpya, badala ya used, inategemea pia umenunua wapi!?Inawezekana mkuu. Lakini kwa Tecno L6 sidhani kama hiyo ni sababu pekee. Mimi nimechukua simu mpya dukani, ikasumbua. Nikairudisha na KUBADILISHIWA.... Na hiyo nyingine tatizo liko pale pale, kumbuka hapo sijaangalia hayo uliyoyasema.
Nakushukuru sana mkuu nimefanikiwa, ungekuwa karibu ningekununulia supu axante sana kwa kweli.Okay..... Nenda mkuu. Utafurahi bila shaka
Hongera kwa kufanikiwa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nakushukuru sana mkuu nimefanikiwa, ungekuwa karibu ningekununulia supu axante sana kwa kweli.
Pongezi zote unastaili ww mkuu wng[emoji12]Hongera kwa kufanikiwa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huawei ndo huwa hazichelewi kufa kwa mdudu huyo,yaan zinakufa kabisa hata mafundi uliowapelekea siyo kwamba walishindwa ila ni simu ynyewe imefikia situation ambayo hata uki command ili uingie kwenye update mode inakuwa haiwezi tena na ikifika hapo ujue hata fundi haiwez labda akuuzie machine nyingineMi yangu huawei ilianza ivyo nikawaperekea mafundi ikawa olaaa nikajarb kuingia kene site ya huawei ili nipate product za simu bahati mbaya walikuwa awajazieka.mwisho wa siku ikawa imezima kabisa nimeipaki
Swala sio used au mpya.. Swala ni hizo Soc kimeo.. Mediatek itabak kua muanga wa hayo majanga hadi kesho...Kuna shida nyingine sim nyingi za tekno hasa matoleo ambayo yanapendwa na watu huwa zimetumika, na hvyo kuingizwa nchin kama product mpya, badala ya used, inategemea pia umenunua wapi!?
View attachment 378105
simu inateta hivyo muda wote, nifanyeje kutatua tatizo