Unforgettable true story

Unforgettable true story

mh wanaume mna mambo mtu kumbe mnaweza kuwasiliana tu bila kujuana kiundani then siku mnameet na ukapewa papuchi ukapokea kwa mikono2? kina shehna ni wengi mtakapokutana nao hamtakaa msahau..pole sana utampata rachel mwingine siku ukisafiri kuja arusha.
 
Weeeeee....... tena umuache, ana mchumba huyo harusi September 2014

Wakati mwingine kuna matukio ambayo naamini huwa ni nadra kutokea.

Sikia hii: Siku moja nilisafiri kutoka Dar kwenda Mza kwa basi. Katika kiti cha mbele yangu alikaa dada mmoja mrembo, baada ya kufika Chalinze aliniomba nimwitie wale wachuuzi wa bidhaa ndogondogo kwani mimi nilikaa dirishani, baadae safari iliendelea na baada ya kufika Morogoro tulikwenda kupata chai ambapo tulisabahiana na kujuzana ni wapi tunaelekea, alisema anakwenda Nzega then Sikonge kikazi na angerudi baada ya kazi yake kukamilika.

Baada ya wiki mbili mimi nilirudi Dar nikiwa safarini tulipofika Nzega nilimwona yule dada akijongea kulikaribia lile basi nililokuwemo kisha akapanda, amini usiamini alikuwa amepewa seat # kwenye kiti nilichokuwepo mimi.

Tulisafiri km marafiki tukishirikiana kwa kila jambo, alishuka Morogoro na aliniahidi kuwa baada ya shughuli zake atakuja Dar kunitembelea, baada ya siku nne alinipigia simu nikampokee stand.

Nilimkaribisha na kuwa nae kwa siku mbili tulienjoy sana, kisha aliondoka kuelekea Arusha, tuliendelea kuwasiliana kwa simu na email pia, lakini ghafla nikawa simpati kwenye simu hata nikimtumia email hareply.

Sielewi ni nini kilimtokea ukizingatia nilikuwa nimekwisha mweka moyoni na akilini pia. Nasikitika kumpoteza Rachel.
 
Ni stori ambayo Soggy alitusimulia...ni stori akikumbuka huwa analia.....kuhusu ya na bint flan,walikutana kwenye basi wakiwa safarini...wana MMU nani anakakumbuka haka ka wimbo???bi dada aliitwa rachel(recho)
 
mh! kweli ukimwi si janga la taifa, uliwahi kujua historical background yake?
 
Ni stori ambayo Soggy alitusimulia...ni stori akikumbuka huwa analia.....kuhusu ya na bint flan,walikutana kwenye basi wakiwa safarini...wana MMU nani anakakumbuka haka ka wimbo???bi dada aliitwa rachel(recho)

nakakumbuka asee nilikuwa nakapenda sanaa
 
Mhhh mkome!afu c ajabu ulimgegeda bla knga! Afu mkala sana ile french kiss yan ni noumer! Nenda kapime alafu usisahau kutubu
 
hata kumgegeda hujamgegeda alafu unasema ni unforgetable,ungemgegeda je anyway wapo watu wanaoamini katika love at first sight ila pole yako.nakuombea wepesi katika kumsahau
 
Ni stori ambayo Soggy alitusimulia...ni stori akikumbuka huwa analia.....kuhusu ya na bint flan,walikutana kwenye basi wakiwa safarini...wana MMU nani anakakumbuka haka ka wimbo???bi dada aliitwa rachel(recho)
nikipiga simu inaita na wala hapokei na akipokeaa basi haongei....
lilikuwa bonge moja la pini.
 
Ni stori ambayo Soggy alitusimulia...ni stori akikumbuka huwa analia.....kuhusu ya na bint flan,walikutana kwenye basi wakiwa safarini...wana MMU nani anakakumbuka haka ka wimbo???bi dada aliitwa rachel(recho)

Mandojo na Domokaya walitisha kwenye kiitikio huku Rah P akiwakilisha vyema sana, enzi hizo Soggy ni hatari...... Ila ile iliisha vibaya kuliko ya huyu mwanammu. Soggy kila akipiga simu demu hapokei na kama akipokea wala haongei.
 
Back
Top Bottom