Mwafrika halisi,naomba ujibu swali hili,kwanini unayakumbuka uliyosamehe?Unayakumbuka ili nini?
Point kubwa sana hiimwambie dogo ale maisha ,kumsamehe mtu aliyekusaliti inawezekana lakini kuendeleza mahusiano naye is like chasing a white elephant.
ingekuwa wife sawa ila gf ,huo ni utumwa sasa.
Sio mwaminifu kihivyo ila the isue anasema walivyokubaliana tangia wanaanza relationshp yao ni kwamba atakayemsaliti mwenzie na ikafahamika basi wanaachana so yeye kamkamata mpnz wake na kiukweli anasema its difficult to 4get what have happend.Huyo ndugu yako mwenyewe ni muaminifu?!
Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku..
Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo gal wake kamuomba msamaha na akasema kilichotokea ilikua bahati mbaya na anaomba 2nd chance waendelee kwenye malavidavi.Huyo ndugu yangu amemsamehe na anampenda sana lakini inamuwia ngumu sana kuendelea na huyo gal wake mana anaona hataweza kusahau kilichotokea in future na itamsumbua sana.
Mnamshaurije huyu ndugu yangu?
Sio mwaminifu kihivyo ila the isue anasema walivyokubaliana tangia wanaanza relationshp yao ni kwamba atakayemsaliti mwenzie na ikafahamika basi wanaachana so yeye kamkamata mpnz wake na kiukweli anasema its difficult to 4get what have happend.
so hafai huyo sio.. nimekusoma mkuusasa kama walisha agree on those grounds what the hell is he waiting for........he should just dump the bitch
Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku..
Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo gal wake kamuomba msamaha na akasema kilichotokea ilikua bahati mbaya na anaomba 2nd chance waendelee kwenye malavidavi.Huyo ndugu yangu amemsamehe na anampenda sana lakini inamuwia ngumu sana kuendelea na huyo gal wake mana anaona hataweza kusahau kilichotokea in future na itamsumbua sana. Halafu mbaya zaidi amefahamu akiwa nnje ya nchi ameenda masomoni,so na ishu ya umbali inampa headache
Mnamshaurije huyu ndugu yangu?