Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
Spika itabidi awafokee wabunge wake waondoe hayo matumbo, kwani ni mfano mbaya kwa wananchi.[/B][/SIZE][/COLOR]
Hivi lile jengo lote, na ukubwa wake, na ujenzi wa kiasia hawakufikiria hata kuweka dojo (gym)?
Spika itabidi awafokee wabunge wake waondoe hayo matumbo, kwani ni mfano mbaya kwa wananchi.
Hivi lile jengo lote, na ukubwa wake, na ujenzi wa kiasia hawakufikiria hata kuweka dojo (gym)?
Spika itabidi awafokee wabunge wake waondoe hayo matumbo, kwani ni mfano mbaya kwa wananchi.
jamani hii inasababishwa na kutofanya mazoezi? kujiachia kwa kutofata mipango mizuri ya mlo? au ni wagonjwa tokea zamani?
nnaomba mnisaidie maana unene wao unatisha wakuu, kwa hali hii wakifa tusije kumzulia chenge kabisa !!!!
'
View attachment 1717
Mbunge wa Kigamboni, Bw. Mwinchoum Msomi akiongozana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Bw. Hamza Mwenegoha wakati wakiingia bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Emmanuel Kwitema)