hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Utafiti wako uliufanyia nchi gani mkuu?ni 50% bhana wako wadada wa hivyo
Mkuu wakati mwingine yapo kwa kigezo cha kuwa kuwa houseboy/housekeeper and nothing else.
Smile na grafani11 mapenzi ni mapenzi na ndio maana yakaitwa mapenzi baina ya watu wawili wa jinsia tofauti na ukitaka kujua utamu na uchungu wake ni pale upo kati kati ya dimbwi la mapenzihonestly mapenzi mapenzi kabisa bwana ...mmmh hata huwa sielewi ...ila ukitaka kujua rafiki wa kweli pata shida aiseee ......who cares? utakufa mwenyewe
Yaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake
hivi unaweza kumpenda mtu bila umjali shida zake?Haya mapenzi haya mbona majanga! kila mtu analia kapigwa jiwe sasa hakimu atamhukumu nani.
utafiti wako uliufanyia nchi gani mkuu?
Khakhi ndo uhalisia huoYaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake
duuuh yaani hakuna kitu kinauma ama mpenzi akuache na maumivu ya mapenzi na hasara za kifwedha juu ? pole sanaYaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake
Nashukuru mkuu Rocky hapo kwenye rangi mkolezo kwa kumwelewesha dada Ladyfurahia. Nafikiri sasa atakuwa ameipata pointi yangu pale juu.Smile na grafani11 mapenzi ni mapenzi na ndio maana yakaitwa mapenzi baina ya watu wawili wa jinsia tofauti na ukitaka kujua utamu na uchungu wake ni pale upo kati kati ya dimbwi la mapenzi
Ila muhimu ni kujua kuwa hao wa aina ya huyo dada kuwapata ni ngumu sana miongoni mwa mia utapata mmoja tuu ambaye atatimiza vigezo hivyo ila uhalisia ni kwamba hawategemei umpeleke kwako akukute mtu mwenyewe mizinguo hujui kesho unaamkaje wala unalipa vipi kodi ya nyumba
Hujui atavaaa nini au atatengeneza nywele zake na kitu gani
Au hajui hata kula yake kama ni ya uhakika
Wangu mimi na mheshimiwa Rocky tuliufanya hapa hapa Tanzania. Hao ni mia moja kwa mmoja na kumpata huyo mmoja ujipange.Tanganyika na kenya
Hahahahahaaaa usihofu huo ndiyo ukweli wenyewe. Hata hivyo kwa hiyo picha you made my day.ina neno hili (makalio) View attachment 106789
Nashukuru mkuu Rocky hapo kwenye rangi mkolezo kwa kumwelewesha dada Ladyfurahia. Nafikiri sasa atakuwa ameipata pointi yangu pale juu.