Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,129
- 26,146
Ninachokukubali kuwa huwa unaandika na kujadili kwa hekima kubwa sana bila mihemko wala matusiView attachment 3516525
My people,
Utangulizi:
Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile tunachokiamini nacho ni Tanzania yenye amani
Tuendelee kupigania kile tunachoamini ni sahihi hata kama tukiwa wachache,tujue kwamba siku zote wachache ndio huamsha chachu ya kuleta mabadiliko,
Alright let's get back to the business
Siku zote hapa jukwaani tumekuwa tukipigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu,wakati mwingine huenda mbali zaidi Kwa kulaumu mods kufuta nyuzi zao
Lakini kwa uelewa mbaya sana baadhi yetu wanajua kuongea na kutoa maoni kwa uwazi ni dhidi ya Serikali tu,hawajui kwamba tunapo pigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu ni dhidi ya kada yoyote ile maadamu kuna jambo tunataka kuliweka sawa
Masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanapush agenda ya kufanya fujo na vurugu,kuna member mmoja bwana Lord,alikuwa anapitia kila uzi na kuhamasisha kutembea na petrol na mapanga kwa ajili ya kupambana na dola
Hatukusikia member hata mmoja akilikemea hili swala,sana sana mlionnyesha kusapoti kwa namna moja au nyingine,leo hii baadhi yetu tunapush agenda ya Amani na kuwalinda vijana dhidi ya watu wenye agenda zao za siri kuhamasisha maandamano haramu, ili wao wapate kuishi hapa town huku vijana wetu wanateketea hali wao wakiwa salama
Wakiuwawa au kudhurika wanawaita wapambanaji,halafu zoezi linaendelea tena kwa kutafuta victims wengine,hii haikubaliki hata kidogo tunapinga kwa nguvu zetu zote
Watu hawa bila aibu wala haya wanalalamika kwa mods kwamba kuna watu wapigwe ban,kwasababu wanafurahia mauaji yaliyotokea 29 October 2025
Wanachojaribu kufanya ni kupotosha ukweli baada ya kuona mashambulizi yamekuwa makali sana dhidi yao kutoka kwa members ambao wamejua mchezo wao mchafu
Siku zote katika hii movement hakuna kauli hata moja iliyotolewa kuonyesha kwamba tumefurahishwa na mauji ya 29 Oct kama mna ushahidi naomba muweke risiti hapa kila mtu aone,na najua hamna kwakuwa hakukuwa na kitu kama hicho na hakutakuwa na kitu kama hicho
Kwahiyo tuache uzushi na upotoshaji, hii movement itaendelea kwa nia njema kabisa ya kuleta awareness kwa vijana ambao ndio hutumika kama chambo au kete ya kufanikisha mipango ya hawa madhalimu ambao wanataka kuichoma nchi yetu,kwa pamoja tutashinda
Mimi na wenzangu tutaendelea kukabia kwa juu sana na kupress very hard kuhakikisha adui anakosa kwa kupumilia ikiwezekana akose pumzi kabisa na kukaa chini
Mapambano bado yanaendelea
Ni hayo tu!
Chawa hajawahi kuwa na akili hata kidogo
Mods walifyeka Uzi wangu Wenye heading "member anajejiita Lord denning ni mchochezi,mfininishaji na mchonganishi " ukafutwa sekunde .Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Ni mwanetu huyu ni yeye sijui kawaje mwezi huu wote aisee π
Dawa imeanza kufanya kazi ndio maana wanapata side effectsUkiona mtoto analia Sana ujue kiboko kimemuingia .
Wameanza kuomba msaada kwa MOD na kufungua threads kutuita watu machawa n.k
Wanataka Uhuru wa habari na mawasiliano Ila hawataki mawazo mbadala sasa hawa wana utofauti gani hao wanaowalalamikia kuwanyima Uhuru huo .
Movement ya kumkomboa Kijana wa kitanzania lazima iendelee hatuwezi kuruhusu machafuko katika Taifa letu kwa maslahi ya watu wachache.
UKIONA MTOTO ANALIA SANA UJUE KIBOKO KIMEMUINGIA
ngoja tuone mwisho wakeNi mwanetu huyu ni yeye sijui kawaje mwezi huu wote aisee π
Mods walifyeka Uzi wangu Wenye heading "member anajejiita Lord denning ni mchochezi,mfininishaji na mchonganishi " ukafutwa sekunde .
Huo Uzi niliweka risiti zake kabla ya October 29 akichochea watu wachome moto Ofisi za CCM na Mali za Umma hakuishia hapo alisisitiza mpka familia za watu wa Sisiemu zivamiwe na kufanyiwa Fujo.
Kwenye uootoshaji nikaweka risiti akitoa madai mazito ya mipango ya kumuu Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi na kuhusisha kifo Cha Jenista Muhanga ni kisa ukatoliki wake , bila ya kuweka ushahidi
Kwenye ufitinishaji niliweka ushahidi wake akichonganisha chuki baina ya Waislamu na Wakristo nchini
A boy from Lumumba street unapiga sana buku saba saba πππDawa imeanza kufanya kazi ndio maana wanapata side effects
Tutaendelea kuleta awareness kwa kila mwenye akili ajitambue na sio kufuata kila kinachosemwa bila kutafakari.
Ifike kipindi watanzania methink big
π€£π€£ this is another side of meKaka unapiga sana afu saba saba mwanawane π kula hela kula hela πππππ huyu sio wewe ninae kujua walaqhiπ
Sioendi mtu ambaye kwenye keyboard anahamasisha watu watoke halafu yeye hajatangukiza Familia yake Wala kutoka.Ni mwanetu huyu ni yeye sijui kawaje mwezi huu wote aisee π
Unadhani amani bila haki ni sustainable? Kuwa unaweza kumnyima mwenzako haki na ukaamini kuwa siku zote kutakuwa na amani kati yenu?Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Thanks broNinachokukubali kuwa huwa unaandika na kujadili kwa hekima kubwa sana bila mihemko wala matusi
why not?Kwahiyo MTU akitofautiiana mawazo na wewe unamuita chawa?.