BABA SANIAH JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 4,770 Reaction score 6,241 Jan 2, 2015 #41 Nikusahihishe ndugu hakuna kuoana kuna kuoa na kuolewa tu
G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 665 Jan 3, 2015 #42 muungano kama tanganyika na zanzbar ndio maana kuna taraka uliwahi kusikia katika undugu kuna kipengele cha talaka au kwenda kufungishwa undugu?
muungano kama tanganyika na zanzbar ndio maana kuna taraka uliwahi kusikia katika undugu kuna kipengele cha talaka au kwenda kufungishwa undugu?
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Jan 3, 2015 #43 mmmmhhhh
M mmewako Member Joined Dec 29, 2014 Posts 57 Reaction score 7 Jan 3, 2015 #44 we kijoba hueleweki,nakuamru aidha uedit post yako au uiondoshe hapa sivyo naifuta kwa nguvu,kiufupi HUELEWEKI
we kijoba hueleweki,nakuamru aidha uedit post yako au uiondoshe hapa sivyo naifuta kwa nguvu,kiufupi HUELEWEKI
MKINGI JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 357 Reaction score 110 Jan 3, 2015 #45 Ni project km project zingne hakuna undugu hapo.
dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,909 Reaction score 3,461 Jan 3, 2015 #46 Kama mmezaa, maybe otherwise mkibwagana kila mtu kivyake
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,510 Mar 11, 2015 Thread starter #47 miss neddy said: Ni zaidi ya ndugu yako hii ni pale mkiwa pamoja mkiachana undugu unakuwepo wa mashaka Click to expand... hakuna undugu wa mashaka
miss neddy said: Ni zaidi ya ndugu yako hii ni pale mkiwa pamoja mkiachana undugu unakuwepo wa mashaka Click to expand... hakuna undugu wa mashaka
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,510 Mar 11, 2015 Thread starter #48 dist111 said: Kama mmezaa, maybe otherwise mkibwagana kila mtu kivyake Click to expand... mkiwa mumezaa mtoto afu mkapigana kibuti kila mmoja wenu akafind kitu kipya je undugu hapo unakuwa vipi
dist111 said: Kama mmezaa, maybe otherwise mkibwagana kila mtu kivyake Click to expand... mkiwa mumezaa mtoto afu mkapigana kibuti kila mmoja wenu akafind kitu kipya je undugu hapo unakuwa vipi
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,510 Mar 11, 2015 Thread starter #49 mmewako said: we kijoba hueleweki,nakuamru aidha uedit post yako au uiondoshe hapa sivyo naifuta kwa nguvu,kiufupi HUELEWEKI Click to expand... umeshatoka wodini?
mmewako said: we kijoba hueleweki,nakuamru aidha uedit post yako au uiondoshe hapa sivyo naifuta kwa nguvu,kiufupi HUELEWEKI Click to expand... umeshatoka wodini?
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,510 Mar 11, 2015 Thread starter #50 Bonge the one said: Nikusahihishe ndugu hakuna kuoana kuna kuoa na kuolewa tu Click to expand... kuoa/kuolewa je inaleta undugu?
Bonge the one said: Nikusahihishe ndugu hakuna kuoana kuna kuoa na kuolewa tu Click to expand... kuoa/kuolewa je inaleta undugu?