Duniani hapa kuna watu na viatu
Their slopes are equal( MI=M2)mke/mme ni sawa na mistari sambamba haitakuja kukutana kamwe
Ni zaidi ya ndugu yako hii ni pale mkiwa pamoja mkiachana undugu unakuwepo wa mashaka
undugu wa kutengeneza rahisi kuuvuruga
mfano mzuri hebu tuutengeneze my miss halafu tuangalie results
Kwa sababu mnajua mlipo tengenezea na kinachowaunganisha ni nini .. vikikosekana hivyo hamna undugu
NIMEPIGA DESA SEHEMUhivii tunapoungana ndo tunatengeneza undugu au....
me naona hapa hatutengenezi ila tunawatengenezea wanaotuunganisha
NIMEPIGA DESA SEHEMU
Wanandoa wasiwe maharimu
Maharimu ni watu walio na mahusiano ya karibu ya damu au kindugu.
Wawili wanaoamua kufunga ndoa wasiwe na uhusiano wa karibu kindugu.
Inakatazwa katika kifungu cha 14 cha Sheria ya ndoa ya mwaka
1971 mtu kuoa au kuolewa na mzazi wake, mtoto au mjukuu wake, kama ni dada yake, mama au shangazi au baba wa mjomba wake, baba au mama wa kambo na mwanaye aliyemfanya kuwa mtoto
wake (adopted child)
Kwani hapo jinsia inahusikaje? eleza unavyoelewa kuhusiana na ndugu kulingana na sinario hiyo ya mtoa maadambona hutaki kuspacefy jinsia yako??