Undugu hapa upo wapi???

Undugu hapa upo wapi???

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,510
tusaidiane hili..
Hivii.. Undugu wangu na niliyezaa nae unakujajeee???

Inapofikia mahali mahusiano yetu yamekoma kabisaaa!! No communication je huyu ni ndugu yangu??

Nitamuitaje.. Pale ambapo tayari ameolewa/ameoa mwingine. Je ni ndugu yangu

KABLA YA HAPO HATUJAOANA HAKUWA NDG YANGU.. Nimemuoa/Amenioa na sasa tumebwagana JE BADO NI NDG YANGUU???
?
 
JEE HII INAMANA KWAMBA MKE/MUME si NDG BALI NI MARAFIKI TUUUU????
MAANA UNDUGU HAUFI.
 
Siyo ndugu ila mnakuwa kama business partners,mtoto ni business na nyie ndo partners,Si ni mtu na mzazi mwenza
 
Ni zaidi ya ndugu yako hii ni pale mkiwa pamoja mkiachana undugu unakuwepo wa mashaka
 
JEE HII INAMANA KWAMBA MKE/MUME si NDG BALI NI MARAFIKI TUUUU????
MAANA UNDUGU HAUFI.

Mke Na Mume Ni Marafiki Kabisa Ndo Maana Wakigombana Wanaachana Lakini Ndugu Hata Wagombane Vipi Hawaachani
 
!
!
Ndugu=wale ambao mmechangia ama baba au mama.
Jamaa=wote ambao mna mahusiano ya kidamu. Mabamkubwa, mabamdogo, mashangazi, wajomba na familia zao.
Rafiki=yoyote mliokaribu na haangukii katika ndugu au jamaa.
Its me.
 
Unamfunuaje ndugu yako...hakuna undugu baina ya mke na mume bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom