Underwater ( Volcano) eruption in Tonga

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,153
Reaction score
9,271


POWERFUL FORCES: Smoke is seen after an underwater volcano erupted in Hunga Ha'apai, Tonga.
 


SEA ERUPTS: Smoke and ash spews out of an underwater volcano in Hunga Ha'apai, Tonga.
 


BIG BLOW: Spectators watch the eruption of an underwater volcano in Hunga Ha'apai, Tonga
 
dah mpendwa,

its both beautiful and horrible! Mungu aliumba jamani, hii dunia unaonekana ina mambo magumu sana magumu kuyajua, nguvu za asili siku moja zaweza kuitikisa hii dunia na kuipasua vipande vipande

jamani mwacheni Mungu aliyeumba hii dunia aitwe Mungu!

thanks AD for nice photoes in recent weeks, inaonekana una hobby na photo! bado nakumbika zile photo za beautiful city, photoes of the week around the world, just to mention a few!

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 
I usually ask my self at what time these photographers take such pictures some times it might be a difficult job

sorry
have to answer you in Swahili so every one can understand..
very nice question ....

huwa wanaweka warning system mahali kwenye Volcano eruption, Tsunami
Tornadoes na vitu kama hivyo kwa hiyo huwa hawa wataalum wanapenda
kuwa hapo masaa na wengine wanta camp hapo kwa wiki wamesha set camera
zao wanasubiri tu ....
ndipo mimi na wewe tunabahatika kuona picha kama hizi..
AD...
 
Umenikumbusha National Geographic Channel ile achana nayo kabisa
 

Sante Miss Judy

Kwa kweli hii dunia sisi bado hatuijui
vizuri bali alie iumba ndie anaye tuonyesha
nguvu zake....
na kuna maajabu mengi tu
ambayo bado hatujayaona...
kweli Mungu ni wa ku ogopwa...
 
hata mimi huwa na shangaa sana... inaonekan sekunde 10 kwa professional photographer zinamwezesha kufanya mambo makubwa....

wanalipwa vizuri sana hao professional photographers... 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…