Underwater Hotel Room,

Underwater Hotel Room,

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BuYJHc-IUAE-oj1.jpg:large
 
Kwa iyo icho kitanda, kutokana na thamani au gharama ya kujenga hicho chumba, kina hadhi ya kuwepo hapo?
 
Vioo vikivunjika, sijui itakuwaje halafu uwe kwenye usingizi mzito
 
Hapo unatakiwa usali sana kabla ya kulala!! Maana umeyafuata mwenyewe majini chini ya bahari
 
hata ukienda na nanii nguvu kwishnei maana ni kama panya kuchezea mtegoni
 
Vioo vikivunjika, sijui itakuwaje halafu uwe kwenye usingizi mzito

Usiogope mkuu Siku ya kurudisha namba itakuwa imefika...samaki nao wajipendelee siku moja moja jamani eh kila siku mna wabwia wao tu. Na kilio chao hakina machozi basi ndiyo mwakosa hata huruma...Ijapokuwa sijui huo usingizi mzito utaupataje ilhali ushaonyesha dalili za kuogopa...
 
Sawa mkuu.

Na mistari ya Remmy Ongala(R.I.P) umeniwekea hapa hapa, asante sana
 
hapo hata iweje, SILALI NG'O! hata tu kwenda kuchungulia na kuondoka, ni big NO!!!!
 
Hiyo hotel isinge funguliwa kabla usalama haujahakikishwa, unalala tu tena stress tupa kule!
 
Ukifia humo utamlaumu nani? Hakuna usalama siku hizi hata ndege zinapotea!!!
 
Back
Top Bottom