Men I like women! I just can't stop loving em! Huh!!!!!!!!!! A woman is most beautiful thing this World ever had! Wangeliukuwa wanalimwa kama mihogo ningewalima mpaka kiangazi!!!
ASHADii,sikumbuki sana lakini according to publications-when prince C married princess Diana,the world declared this marriage as made in heaven,no stone was left unturned-truly nothing could go wrong-But alas,when cracks started to appear we were dumbfolded,dirty linen was washed in public in the end we all know what happened.Now according to u experience etc etc,advice from people Diana should have seen this happening and hence angechomoa??????
Mungu hakupanga iwe hivyo!Hivi kwa nini wadada tunapenda kuolewa, hatuwezi ishi wenyewe kweli?
Son of A that is a perfect example you have given...
angalia the way mapenzi ya Charles n Camilla yalivyoharibu
the marriage yeye mwenyewe marehemu (Diana) akilitambua hilo..
Mwanaume anae fall in love kila siku hana shida saana katika kum
maintain... problem is a man who falls in love only once with a woman
who is still in his life....
Diana knew na bado akaingia shimoni-its human nature once you are SWEPT OFF YOUR FEET,NOTHING MATTERS,leo hii Obama towering over you,asking for your hand,your knees will wobble,and if a heart attack does not get you first,you will be his wife the next day irrespective of any advice given to uSon of A that is a perfect example you have given...
angalia the way mapenzi ya Charles n Camilla yalivyoharibu
the marriage yeye mwenyewe marehemu (Diana) akilitambua hilo..
Mwanaume anae fall in love kila siku hana shida saana katika kum
maintain... problem is a man who falls in love only once with a woman
who is still in his life....
tips za kumuelewa that special single lady you have fallen for…:a s-heart-2:
note:
kina dada/mama nitaomba mchango wenu kama mnakubali au lah! Na kuongezea mtazamo wako/wenu… kina kaka/baba naomba mchango wenu hasa kwa kuzingatia personal/friends experience wakati wa kututokea akina dada/mama wa rika tofauti…
nb: off topic
jamani i missed jamvini na wanafamilia wa mmu wooooote! Yaani almost niwe admitted hopitalini... (kidding..lol) serious note: i really had missed you all in ways i thot not possible… cku njema dears and want you to know ashadii loves you all…
Asha,nimekusoma mpaka nukta ya mwisho.Nimekubaliana na wewe 100% ila swali langu ni moja, umejuaje yote haya?
Sasa kama ndoa ni part ya life mbona siku hizi waoaji hakuna? au tunafanyaje sasaDina Marriage is part of life... ilo swali ni paana na la kungulia uzi mwngine kabisa....
sababu ni mambo mengi saana huchangia kutak kuolewa...
Ila alipangaje? kwa nini haikuw na sie tukitaka kuolewa tunatafuta wa kwetu na kuolewa mpaka usubiri limtu lije kukuposa, mara linakutosa aaaagrrrrrrrrrMungu hakupanga iwe hivyo!
Diana knew na bado akaingia shimoni-its human nature once you are SWEPT OFF YOUR FEET,NOTHING MATTERS,leo hii Obama towering over you,asking for your hand,your knees will wobble,and if a heart attack does not get you first,you will be his wife the next day irrespective of any advice given to u
tips za kumuelewa that special single lady you have fallen for…:a s-heart-2:
note:
kina dada/mama nitaomba mchango wenu kama mnakubali au lah! Na kuongezea mtazamo wako/wenu… kina kaka/baba naomba mchango wenu hasa kwa kuzingatia personal/friends experience wakati wa kututokea akina dada/mama wa rika tofauti…
nb: off topic
jamani i missed jamvini na wanafamilia wa mmu wooooote! Yaani almost niwe admitted hopitalini... (kidding..lol) serious note: i really had missed you all in ways i thot not possible… cku njema dears and want you to know ashadii loves you all…
Asha,nimekusoma mpaka nukta ya mwisho.Nimekubaliana na wewe 100% ila swali langu ni moja, umejuaje yote haya?
ha ha ha .... Bishanga...
Hayo ni mawazo yangu tu, yawezekana tu we think in the same line....lol
Mpenzi Dinnah waowaji siku hizi hamna sababu hata waolewaji wenyewe hamna....
Ila alipangaje? kwa nini haikuw na sie tukitaka kuolewa tunatafuta wa kwetu na kuolewa mpaka usubiri limtu lije kukuposa, mara linakutosa aaaagrrrrrrrrr
Dina Marriage is part of life... ilo swali ni paana na la kungulia uzi mwngine kabisa....
sababu ni mambo mengi saana huchangia kutak kuolewa...
Ila alipangaje? kwa nini haikuw na sie tukitaka kuolewa tunatafuta wa kwetu na kuolewa mpaka usubiri limtu lije kukuposa, mara linakutosa aaaagrrrrrrrrr
Speaking from my experience,i have come across woman who had vowed never to date a haya man-how they found themselves in my clutches and confessed-to them they just dont know how it happened,one was even told by his father stay away from haya"s. This means yardsticks in love never work-just go with the flow and see how it works
hii ilikuwa ni principle ya vice chancellor wa kwanza wa university of DSMKweli kabisa ADI,
Watu wanafanya biashara ya kuwowana badala ya kuoana. And it pays!!
If you can get free milk, why keep a cow?