The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
File lako kubwa lina 1 TERABYTEYaaaaani umempa The Boss... una nia njema na mimi???
jamaa ana nyumba ndogo 3 na zoote alivunja ndoa za watu
na ana intimate politics hazifai kabisa... dah!
Itabidi nitume messanger....lol...
Habari za mlimani??topic is very interesting..
Yaani cheti cha babu yako ndio unataka kusema cha kwangujana ulidondosha cheti chako cha kuzaliwa chumbani.
when it comes to love advice,every tom,dick and harry is a guru-but realities on the battlefield always prove otherwise.One may be stronger and wiser in relationships but yet CONTINUOSLY fall in an abyssSon of A i would hate to believe you have not learned from your past love
relationships thus making you stronger and wiser in relationship related issues...
Naona nikuache tu haywire.....lol... kwanza umekimbia majibu ya malalamiko its beta ukubali makosa ni yako!
when it comes to love advice,every tom,dick and harry is a guru-but realities on the battlefield always prove otherwise.One may be stronger and wiser in relationships but yet CONTINUOSLY fall in an abyss
nina aleji na aiskrim.Usikimbie bana njoo ulambe ice cream ya mchina
niliona kimechorwa picha yako.Yaani cheti cha babu yako ndio unataka kusema cha kwangu
Habari za mlimani??
Ahsante kwa kutushukia kama mwewe tupe maoni yako kutokana na umri wakoMlimani ni kwema.Ila nimeshuka kuwasalimia,nashukuru Mungu hapa hali ni shwari kabisa.
I think umenena vema japo sina data za uhakika za research kuhusiana na hizo age ranges.N a hapo kwa wadada kuwa desperate kuolewa nadhani umeenda mbali sana.siku hizi wengi wenye 25 wapo desperate pia.Taa nyekundu inaanza kuwaka na kuwatahadharisha kuwa wamechelewa.ZD penny for your thots (if you don't mind...)
Ashadii would appreciate the effort..
Dear Gaga,I thought maoni ni general kumbe yanatakiwa yaendane na umri?nadhani sipo tayari kuexpose umri wangu..Ahsante kwa kutushukia kama mwewe tupe maoni yako kutokana na umri wako
I think umenena vema japo sina data za uhakika za research kuhusiana na hizo age ranges.N a hapo kwa wadada kuwa desperate kuolewa nadhani umeenda mbali sana.siku hizi wengi wenye 25 wapo desperate pia.Taa nyekundu inaanza kuwaka na kuwatahadharisha kuwa wamechelewa.
Hivi kwa nini wadada tunapenda kuolewa, hatuwezi ishi wenyewe kweli?ha ha ha...
Am a woman, age is a sacred topic for us...