Underground vs Wakongwe wa JF

Underground vs Wakongwe wa JF

Uongo au kweli?

Hata wakubwa wanapokuwa na wakubwa wenzao hufanya mambo ya kijinga....lakini ni upumbavu kwa mkubwa kufanya mambo ya kijinga mbele ya watoto...kwani mtoto naye atakuwa mjinga.....
 
Hata wakubwa wanapokuwa na wakubwa wenzao hufanya mambo ya kijinga....lakini ni upumbavu kwa mkubwa kufanya mambo ya kijinga mbele ya watoto...kwani mtoto naye atakuwa mjinga.....
Nimekuelewa
Cha msingi kila mtu afurahie maisha
Watoto waangalie katuni
Wakubwa waangalia picha za X
Ilimradi wasivunje sheria
 
sawa basi underground mmeshinda sasa nendeni mkacheze facebook na insta mkikuwa wakongwe mrudi JF
 
Nimekuelewa
Cha msingi kila mtu afurahie maisha
Watoto waangalie katuni
Wakubwa waangalia picha za X
Ilimradi wasivunje sheria

18ed909f81ea733d6b349d0068249ca1.jpg
 
Back
Top Bottom