hamna mabadiliko kwenye profile yangu na mbaya zaidi vyuo vyote nilivyochagua vimeshatoa selection zao na cjaona jina langu, does it mean nimekosa chuo?

Sehemu ambapo palihitajika file kuwa uploaded file lishawekwa??
Na hakuna mahali pameandikwa updates ?
Ikiwa kuna mahala uliitajika ku upload file na hauku upload au kuna mahali umeandikiwa updates bas jua bile kufanya marekebisho ni ngum kuwa selected