Under NACTE mbona hatuthaminiki

Under NACTE mbona hatuthaminiki

andy90

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
270
Reaction score
105
Wale waliioomba nacte wanaosubili selection ya pili ingieni kwenye profile account zenu za nacte halaf tuzidi kupeana Information inakuwaje,,
 
hamna mabadiliko kwenye profile yangu na mbaya zaidi vyuo vyote nilivyochagua vimeshatoa selection zao na cjaona jina langu, does it mean nimekosa chuo?
 
Mkuu ninaona capacity ya my second choice na third choice zime reduce adi 0???hiyo inamaanisha nn?
 
Ukiona capacity ni ziro kwenye chuo usika jua chuo hicho kimejaa
 
hamna mabadiliko kwenye profile yangu na mbaya zaidi vyuo vyote nilivyochagua vimeshatoa selection zao na cjaona jina langu, does it mean nimekosa chuo?

Kwenye capacity ya vyuo ulivyochagua ipoje?
 
Nimejaribu kifungua tena ila inaniletea profile ya mtu tofauti kwann eti?
 
Kwenye my first selection bado 118,second n third zero alafu fourth ipo 21 while ya tano ipo 39
 
Sehemu ambapo palihitajika file kuwa uploaded file lishawekwa??
Na hakuna mahali pameandikwa updates ?
Ikiwa kuna mahala uliitajika ku upload file na hauku upload au kuna mahali umeandikiwa updates bas jua bile kufanya marekebisho ni ngum kuwa selected
 
Mbona najaribu ku login imekataa kabisaa inaniletea profile ya mtu mwingine
 
Back
Top Bottom