"Under 20" Uhai Cup

"Under 20" Uhai Cup

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,268
"
[TABLE="class: tr-caption-container"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Huyu ni mchezaji wa timu ya vijana ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20, ambaye leo aliichezea timu hiyo dhidi ya Yanga katika michuano ya timu za vijana za klabu za Ligi Kuu maarufu kama Kombe la Uhai, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam ikishinda 2-1. Hapa alikuwa anapatiwa matibabu baada ya kuumia. Je, sura hii ni ya mchezaji mwenye umri usiozidi miaka 20? Mashindano haya ni maalum kuandaa wachezaji wa baadaye wa taifa letu, ikiwa hiyo ndiyo dhamira, je tutafanikiwa? Tafakari, soka yetu inaelekea wapi kwa mtaji huu?[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
jeba3.jpg
 
hao vijana wetu wanaandaliwa kucheza soka kwa hapo baadaye miaka ijayo,
hahahaaahahahahahhahahahahahaaha...............................
 
hao vijana wetu wanaandaliwa kucheza soka kwa hapo baadaye miaka ijayo,
hahahaaahahahahahhahahahahahaaha...............................

Money Stunna, bado nakukumbuka kwa magazeti ya LEO, huyu ungemtoa bila shaka
 
uwa nayaweka ata leo nimeweka ila kwenye jukwaa la habari mchanganyiko

aaaahhh, nilikua nachungulia jamii photos zaidi, ndiko nilikozoea kuyaona, nilipokukosa nikapata maujanja ya ku-google
 
Huwa kunawachezaji wanawahi kukomaa/kuzeeka ilhali umri mdogoo na hii ni kwa tz tu...Lol!
 
Halafu mtoto wa watu bado hata hajabalehe! ndo kwanza ana 14 yrs!
 
Back
Top Bottom