Kuna taasisi iliyoanzishwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo, inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND, hivi inatambulika kisheria na iko chini ya nani? Naofia ya deci na kina malingumu yasijetokea then baadaye watu wakilia ndio tushituke.
MSAADA WANAINTELLIJENSIA
C = Cash flow per period(michango ya kila mwezi) i = interest rate (riba ya mchango) n = number of payments (idadi ya michango kwa mwezi) FV ordinary annuity: thamani ya pesa ya baadae ya ordinary annuity. |