UNCONFIRMATION SELECTION

UNCONFIRMATION SELECTION

Official Juma

Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
10
Reaction score
0
Jaman naomba msaada kuna chuo nimechaguliwa lakin system yao inagoma kuCANCEL ADMISSION na mm stak kusoma hcho chuo, nmewasiliana nao et ndo mfumo wao ulivyo huwez kucancel nifanye nn ili nisisome hapo???
 
Pengine ni mtandao,jaribu kucancel mida ya 9hadi saa11 alfajir utafanikiwa mm mwenyew ilinitokea hiyo
 
Wakuu mimi nataka nicancel alafu niombe kingine, sasa naogopa kukosa kabisa. je kuna uwezekano nikaona vyuo vyenye nafasi??
 
Wakuu mimi nataka nicancel alafu niombe kingine, sasa naogopa kukosa kabisa. je kuna uwezekano nikaona vyuo vyenye nafasi??
Nakushauri usikanseli lkn omba kingine pia siovby kama watakuchagua kingine manake utakua multiple zen utocomfem kimoja but unaweza uka cancel mwish wasiku ukaomba chuo kingine wasikuchague ukakosa vyote
 
Jaman naomba msaada kuna chuo nimechaguliwa lakin system yao inagoma kuCANCEL ADMISSION na mm stak kusoma hcho chuo, nmewasiliana nao et ndo mfumo wao ulivyo huwez kucancel nifanye nn ili nisisome hapo???
Omba kingine lkn kwaushauri usicancel
 
Mm nimepata full admission mocu na nimechaguliwa udsm kama nispo confirm si watanifuta wenyew
 
Jaman naomba msaada kuna chuo nimechaguliwa lakin system yao inagoma kuCANCEL ADMISSION na mm stak kusoma hcho chuo, nmewasiliana nao et ndo mfumo wao ulivyo huwez kucancel nifanye nn ili nisisome hapo???
Eti SITAKI KUSOMA HAPO bila kuwachagua wamefikaje kwenye profile yako?,jibu kwanza hili
 
Hamna mkuu hawez chaguliw tena mana ukisha confime inamana tayal jina lako linakua TCU so hawawez kukuchagua tena wakat umeshachaguliw
Duuu basi sawa kama ikoivo manake mim walinichagua direct sababu nilipata chuo kimoja nkaomba tena nkizan nawez Pata tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom